Recent content by Mlume ndagu

  1. Mlume ndagu

    Kama yanayosemwa ni kweli Tanzania ndio nchi inaongozwa kutafunwa

    Ubongo wa kuusumbua wenyewe anao sasa 😀😂
  2. Mlume ndagu

    Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Kumbe watu wanaakomaa kuamini kwenye kitabu cha mawazo ya kubashiri 😂😁
  3. Mlume ndagu

    Naogopa kutapeliwa, nipo Iringa sina nauli ya kufikia dar hela niliyo nayo ni ya kununua PS4

    Bado hujakutana na wazee wa WETE, PEMBA, MWEMBELADU ZANZIBAR, Hawa watakuuzia hio PS 4 kwa 200K tuu, ukikosa utulivu umepigwa...
  4. Mlume ndagu

    Makamu Mkuu wa Chuo hapa umenifunza

    Mechi ijayo unaagiza box la maziwa kujiongezea thamani na makamu hatokei... 😂 (Jokes)
  5. Mlume ndagu

    Jinsi ya kumjua tapeli kabla hajakupiga: Dalili za mawinga walafi

    Kuna dingi aliniambia hii mashine ni ya mjerumani, lkn kwenye label imeandikwa china, nikambembeleza kwa bei yangu akakataa akasema kwanza hii kuna mtu kaitangulizia pesa mida hii hii, kesho atakuja kumalizia, leo ni mwezi wa pili nikipita pale naiona ipo ndani tuu.
  6. Mlume ndagu

    Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

    Bila kupepesa atakua mchaga huyo?? 😂😂😂
  7. Mlume ndagu

    Namna ya ku-deal na Gold digger

    Dah!! Nimecheka sanaaa 😂😂😂
  8. Mlume ndagu

    TV Mpya vs. Mtumba: Ipi ni Bora kwa Bajeti ya Milioni 1.5

    TCL 65Q651 sio itakua zaidi ya 1.5M, maana naona model nyingi za kawaida ndo wanauza bei hio???
  9. Mlume ndagu

    TV Mpya vs. Mtumba: Ipi ni Bora kwa Bajeti ya Milioni 1.5

    Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora. Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia: Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K TCL UHD Smart 4K Zote zinauzwa kwa...
  10. Mlume ndagu

    Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

    Mi nilishanunua mikanda na bodi kwa hesabu ya fundi mwingine, fundi aliekuja kuskim akashauri tusitumie mikanda, nikakomaa akasema basi mikanda tuweke vymbani tuu, sa hv natamani nyumba nzima nisingeweka mikanda. Dining na sebule panavutia sana bila mikanda.
  11. Mlume ndagu

    USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Mambo ya HPV na Uvuvi kwa pamoja. 😂🚶‍♀🚶‍♂️
  12. Mlume ndagu

    Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Biashara ya Bond inawafaa watu wenye majukumu mengi kiasi cha kukosa muda wa kushughulika na fursa mbali mbali mtaani ili kukuza kipato. Yaani niwekeze 1M ili nipate 10K kwa mwezi. Dah!
Back
Top Bottom