Malinzi,
Hivi CECAFA, inashirikisha vyama wanachama katika kuanadaa mashindano(ratiba) yake, i.e klabu bingwa? Na je nia hasa haya mashindano ni nini? kukuza mpira ukanda huu, biashara, kukuza maelewano ya viongozi? Nauliza hivi, kwa sababu, nikiangali tu tuchukulie mfano wa wawakilishi wa...