mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,004
- 1,138
Nadhani yanayowakuta mliyataka wenyewe wana Yanga alipojiuzulu Nchunga mkaona uongozi mumpe tajiri matokeo yake klabu imekuwa anaiendesha kama kampuni yake,kamati ya utendaji iliyochaguliwa na wanachama kwa mujibu wa katiba ambayo ndiyo inapanga mipango ya klabu haikutani ni kama vile umevunjwa.Mnadhani klabu itakuwa na mafanikio kweli?