Recent content by mludego

  1. mludego

    JamiiForums Tanzania Hela za Tone Tone Tunduma zabebwa na Fuso la kukodi, zilikuwa nyingi mno, viroba havikutosha, Hakika Wananchi wameamua

    Nadhani jina Tunduma lilitokana na jina Tundu Lissu
  2. mludego

    JamiiForums Tanzania Bodaboda waungana na mbunge Patrick Mwalunenge, wako tayari kutoa shilingi elfu moja moja kwaajili ujenzi wa barabara

    ujinga tupu hizo fedha ama kitita zitasimamiwa na nani? Bora angesema wabunge wakatwe kwa kila kikao Cha bunge Tsh 10000/- binafi ningeelewa
  3. mludego

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Mangi yanaharibu Nyumba Kikuba-Tukuyu

    mkuu kwani hujawahi tumia pombe yoyote ktk maisha yako?
  4. mludego

    JamiiForums Tanzania Sijui mpoje?

    kubali vyote
  5. mludego

    JamiiForums Tanzania Kutoka ushabiki hadi kushare stage na Heavyweight jay wa Mitulinga: Nikki mbishi amwagiwa sifa baada ya kutoa back up ya kibabe show ya Professor Jay

    Sasa AY na Pro Jay ni link ziko sawa,Sasa Nikki ni kizazi kingine ktk industry ana link zake, kusema underground bado ni kukaza fuvu legeza fuvu Ili ubongo upumue
  6. mludego

    JamiiForums Tanzania Hivi Juma Nature ana umri gani? Mbona hazeeki

    dully Sykes
  7. mludego

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo

    Nilikua hapo Mpanda nilihisi M27 wamevamia ofisi za Tanesco , kila dkk 5 unakatika ,hakuna Cha mvua Wala nini ni ujinga mtupu Mji kama wa Mpanda kykosa umeme.
  8. mludego

    JamiiForums Tanzania Chama cha Ma-DJ Nigeria watangaza mgomo wa kupiga nyimbo za Burna Boy

    Labda kama ni tandika ya Tarime ila kwa Dar hapana aisee
  9. mludego

    JamiiForums Tanzania Bei za kuscan magari

    Ameuliza lkn? Au huna jibu ili akachapwe vizuri
  10. mludego

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tec: Hizi All in One PC kuna kitu pale au takataka tu?

    Kaka hbr nina Lenovo all in one ila kioo kimepata hitilafu maana kilibonyea wakati naamisha ofisi, je Kuna uwezekano wa KUPATA spear yake?
  11. mludego

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    mbona dog janja ni mtumishi wa umma na Rasta pia
  12. mludego

    JamiiForums Tanzania Madubwi mashine za kamari zinazomeza pesa yapigwe marufuku yabaki Casino tu, Watu wazima wanalizwa na sasa watoto wanaiba hela wakacheze

    huwa wanabeba coin kwenye ndoo ya Lt 20 zikiwa zimejaa mpaka klugger zinadidimia kutokana na uzito wake..
Back
Top Bottom