Maamuzi sahihi kabisa. Hakuna kitu cha msingi kama Kujitathimi,Kujitambua na Kuona mbele ni nn hatima ya hii kazi ninayoifanya Leo, Kesho na Mitondogooo...lazima ufanye maamuzi magumu..Good luck Mdau. Kwa nn opoteze nguvu zako for nothing....
Omba Mungu akupe wepesi wa Jambo hilo na mwisho uje na maamuzi sahihi...vinginevyo utakuja Lia na wakukunyamazisha hutamwona...Fata hisia zako na sio hisia za wazazi
Mtabishana sana...Nashauri ili kukata mzizi wa fitina..ajitokeze msemaji wa idara hii na kulitolea ufafanuzi kama ambavyo JWTZ walivyofanya kuhusu September 1 kuwa sio siasa bali ni Maadhimisho na yapo kisheria. Over
Ur right..Ummesh.. Anavigezo vyote na mpambanaji kweli kweli.. tatizo tu ni hiyo harufu ndo nashindwa...Mapenzi hayaendi bila denda sa akikusogelea mpaka hisia zinapingua
Habari wandugu,
Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi. Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.