Recent content by mliwachake

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika is the brightest MP in Tanzania

    Kuitwa doctor au professor hiyo ni TAALUMA, kupata A's darasani ni taaluma siyo elimu. ELIMU ni matumizi sahihi ya taaluma. Ni kweli mnyika taaluma yake ni ya kidato cha sita ila ana elimu kubwa kukuzidi wewe. Acha kuweweseka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi, Ushauri na Onyo kwa Hotuba ya Waziri Wa Mambo ya Nje Kwa Weledi na Upotoshaji

    Hoja za kisomi kama hizi intarahamwe watatukana sana. HONGERA Ben.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heee! Mtwara bado wana machungu?

    Vita umakondeni inaisha unapokufa/anapokufa tu. utampiga leo itapita miaka/miezi/siku ila ukikutana naye siku/mwezi/mwaka wowote ule ngoma ngondoigwa! hapo kisu, upanga, mshale , bisibisi twende kazi. ccm wanalo kwa wamakonde!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere avunja Ukimya, aungana na Vijana wazalendo kulaani kutukanwa Mwalimu

    Hivi, huyu mama anajua kama akifa CCM itatumi BILIONI 15 kama gharama za mazishi yake? arudishe kadi ya chama tu afe akiwa huru!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na driving licence ya Tanzania hurusiwi kuendesha gari Zanzibar. ..

    Kumbe? serikali 3 haziepukiki. jk alinipoteza, kupitia jf nitarudi kwenye mstari!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lissu amshukia Lowassa

    Kuna watu(magamba) siwaelewi kabisa humu jamvin, wanajibu kila post zaid ya mara 20, hawana majukum hau?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nikifika Tz inshallah kitu cha kwanza ni kuipiga kibiriti kadi CHADEMA

    Wasanii wameenda mbeya kama chama cha waigiza filamu. Kwa mantiki hiyo, chama chao wamejitambulisha rasmi kuwa ni tawi la ccm na cyo waigiza filamu. kwa iyo, mimi kama gwanda cwezi nunua tena kaz za wana ccm, cmpo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Vijana wa dot com utawaweza basi, graduate hajui 'mke' ni mwanamke aliyeolewa? hawa mkuu wakickia kiu wanakunywa soda badala ya maji.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Daaa! watoto wetu hadi leo walikaa tu nyumban wanasubiria matokeo wajue kama wanabak form 2 ama la. si wangesema tangia mwaka walipofanya mtihan? acha tu hii wizara apewe mulugo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wanandoa

    Kama unaona haya kujamba basi haukupata mda mzuri kufahamiana na mkeo kipindi cha uchumba. nakushauri umfanye mkeo awe rafikio mkubwa na punguza adabu ukiwa naye isiwe kama upo na mama mzaz. hapo kutoa hewa chafu itakua kama kutema mate.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CCM kuna makundi Tujadili hili!!Siyo kuijadili Chadema Tuuuu!!

    Kaburi la CCM bado futi 1 tu litimie futi 6. tutaizika kwa shangwe sana mwakani, subra yavuta heri!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

    Anayetukana mungu wako yuko tayari umtukane wakwake!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

    Kumbe Vichekesho vya Masanja? Alaf vnarushwa TBCcm? Hamna jipya, ulicheka imetosha. Nenda kalale.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiwe kama nyumbu kwa CHADEMA

    Kwa tafsiri ya mada yako, maccm ndo NYUMBU. cdm tunajitambua sana
Back
Top Bottom