Recent content by Mlebanoni mweusi

  1. M

    Gari la waziri mkuu mstaafu yapigwa mawe

    Katika kile kilichoelezwa kuwa na mwendelezo wa uhasama wa kisiasa, Gari la aliyekuwa waziri mkuu wa JMT mh. Sumaye limepigwa mawe na kundi LA watu wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa mbunge wa wilaya ya Hanang mama Mary Nagu. Sumaye ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa wilaya ya Hanang mkoani manyara...
  2. M

    Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

    Una akili fupi km kama kope zako
  3. M

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    Sidhani kama wengi wamefurahishwa na report yako YERIKO japo una mantiki,, tarajia barua ya kuitwa kamati ya maadili kuhojiwa
  4. M

    Warioba ngangari, aapa kufia maoni ya Tume yake. Asema anasubiri barua ya CCM

    Bora umemjibu kikatili,, me nlitaka nmkatishe tamaa ya ku comment tena jf
  5. M

    Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

    USIBISHANE NA HUYU KIDUDU MTU...ana njaa
  6. M

    CHADEMA Mwanza almanusura wazipige

    Pole,inawezekana leo lumumba kulikuwa na foleni kali sana umeshindwa kuchukua buku7,unaganga njaa jf
  7. M

    CHADEMA wakwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Mbeya.

    Mlikuwa wap tangu miaka 52 ya uhuru kuleta maendeleo hadi leo jiji zima lina vyuo vikuu viwili?Au nako chadema walikwamisha? Acha kuishi na mlenda kwenye ubongo...ww bado mtoto mdogo fikirisha akili!!!
  8. M

    Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

    Atakuwa ni kenge mkuu!
  9. M

    Nini tofauti ya rais kuhutubia bunge na hotuba ya mwezi au ile na wazee????

    Wewd unafaa kabxa kuwekwa jamvi moja na jk ktk hili,unatoa majb mepesi kwenye hoja nzito..
  10. M

    Mbunge Bulaya kulipua wasambazaji dawa za kulevya bungeni leo-Yale yale ya Amina chifupa!

    CCM bana u always drive me crazy! Ni vigumu kuelewa hawa wabunge wa sisiem ambao hoja kadhaa zimewahi kuwasilishwa bungeni kuhusu madawa ya kulevya lakini kwa sababu tu aliyeleta ni mpinzani mnaendeleza propaganda zenu za "ndiooooo" bungen kupitisha upuuzi badala ya kumsuport alafu leo...
  11. M

    Mbunge Bulaya kulipua wasambazaji dawa za kulevya bungeni leo-Yale yale ya Amina chifupa!

    Mkuu ni kweli lakini sio kosa letu,thats how TANZANIA brought us 50 yrs ago under corrupt CCM!
Back
Top Bottom