Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

Dr Slaa atoa salamu za Mwaka mpya...

kazi njema sana makamanda!!!! sisi huku kila sehemu za mkusanyiko tutoe sera zetu!!! wataisoma namba!!!
 
Kwa nini padri slaa atoe salam kanisani huu ni udini wa hali ya juu sana.bilali ni muislam kwenda kanisani ameonyesha uungwana

Mkuu ungempa mwaliko bhasi, alafu sijawahi kishuhudia wenzetu waislamu mkiwa mnamkesha wa mwaka mpya hebu kama mnao mkesha wa mwaka mpya nijuze...alafu masuala ya udini umeyaleta wewe yeye katoa salamu ya mwaka mpya kwa Watanzania wote.
 
Rais wa WAFUSKA!

Kwa hiyo Mwenyekiti wako wa Taifa wa CCM ni Rais wa MAFUSKA? Nyie ndiyo mnatufanya huyo Prof wa Kichina tuzidi kumdharau.Hivi kuna fuska kama Prof wa Kichina?
 
Rais wa WAFUSKA!

Kwa hiyo Mwenyekiti wako wa Taifa wa CCM ni Rais wa MAFUSKA? Nyie ndiyo mnatufanya huyo Prof wa Kichina tuzidi kumdharau.Hivi kuna fuska kama Prof wa Kichina?
 
Back
Top Bottom