Recent content by mlaulesteven

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi na MKE kwa mshahara wa 150000?

    we oa acha woga. tena akl ndo itapanuka zaidi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wandugu ni kweli udom kuna hili?

    we nenda utayajua huko huko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    changia kwa unayeona kuna cku atakuchangia au aliwah kukuchangia mbona simple! acha umbulura
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu ajali ya basi kwa abiria

    funguka. naona bado umejifungia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi hospital ya Bombo Tanga kukusanya ushuru kwa magari yanayoingia hospitali

    Nimeshangazwa na utaratibu wa hospital ya mkoa wa tanga bombo kwa kukusanya ushuru kwa magari yanayoingia hospital. Wamekua wakitoza tsh 500 kwa gari inayoingia hosptal. Ikumbukwe jambo hli lilishapigwa marufuku na aliyekua waziri wa afya Dr. AISHA KIGODA. Alisema hospital c sehemu ya starehe so...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    nenda pale makutano ya morogoro road na bibi titi kunaghorofa nimelisahau jina ila linatazamana na dit kwa barabara ya bibi titi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    muungano wa cdm, cuf na nccr, unaweza ukafananishwa na utatu mtakatifu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wadau nishaurini kwa hili

    bartazar hata ushauriwe vp. kama umeshajirzsha na shuhuda hzo, mbmuz unayo mwenyewe kaka uctegemee m2 . masuala ya ndoa ni magumu sana. ningekua mimi ningeshatimua muda mrefu sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na Lissu uso kwa uso Mlimani City mjadala kuhusu kanuni za bunge

    Lukuvi bora uharishe 2. Unaenda kuaibika. Simuoni hata mmoja wa kumshnda lisu. Hao wa chama che2 wote mambururaaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muswada kurudishwa bungeni

    Wapuuz ndo watajua kuwa wapinzani wako vema. Hongera muungano wa vyama vya upinzani. Fanyen hvyo hata uchaguz mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wajumbe watano wa CHADEMA wakamatwa

    kova huu ushauri wa bure kwako. waache muungano wa vyama vya upinzani wafanye mambo yaoo. we peleka ulinzi wa kutosha kama ulivyopeleka kwa obama. chadema wakishka madaraka ntakuonea huruma, maana hata kondoa hutakaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Itega sec imulikwe

    Tunaiomba wadau wa elimu mkoa wa dodoma na taifa kwa ujumla, waitazame shule hii ya ITEGA SECONDARY iliyopo maeneo ya nkuhungu dodoma. Shule hii imekua haina taaluma ya kuridhisha kwa muda mrefu. Shule haina baadhi ya walimu wa masomo zaidi ya miaka miwili sasa. Mfano mwalimu wa biology. Watoto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania mlaule

    wenye mji huu mpo?
Back
Top Bottom