Recent content by mlambivu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wa kurithi ukatibu wa Dr. Slaa CHADEMA

    Hakuna mwenye akili timamu atakayerithi kitu mfu. Tunasubiri tu kusikia kuwa lowasa na sumaye walitumwa na ccm kuiua chadema . Hii ni baada ya oct.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kukumbushana.

    Acha oil chafu itoke gari kubwa ligonge mwendo .... mbele kwa mbele
  3. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Polepole ni jembe, yeyote aliye na akili timamu hathubutu kumshabikia Fisadi EL wala kùungana naye
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    Tbc,tbc, tbc
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makamba: Ukiwa na ndoa na mfumo kwa mda mrefu hawezi kuleta mabadiliko

    Ok hapo nimeelewa. Hiyo kauli yake kwangu mimi sioni kama ina mashiko hata kidogo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makamba: Ukiwa na ndoa na mfumo kwa mda mrefu hawezi kuleta mabadiliko

    Vevenonombo mbona heading haieleweki!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Celebrity couples tajiri zaidi Tanzania

    Kwi kwi kwi u made my day!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

    Duu!mkuu una good memory, huu wimbo nisingeukumbuka kabisa.... Nakumbuka darasani tulikuwa tunaupenda mno!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mrema aweweseka na ujio wa Mbatia jimboni Vunjo

    Vizee kama hivyo vinakuwaga vibishiii! Hawezi sikiliza ushauri wa mtu, tena mtoto wake ndo kabisaaa hawezi kumshauri labda kama huyo mtoto ana kipato kikubwa kumshinda baba
  10. M

    JamiiForums Tanzania TRA huu ni zaidi ya unyanyasaji!

    Na wewe unaweza kuwa mtaalam wa sheria za kodi lkn ukawa kilaza kwny mambo mengine.... Ndo maana jukwaa hili lipo kwa ajili ya kuelimishana kwny mambo mbali mbali
  11. M

    JamiiForums Tanzania TRA huu ni zaidi ya unyanyasaji!

    Embu nishauri cha kufanya mkuu maana na mie ndo nilitaka kwenda kulipa kesho au kesho kutwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania TRA huu ni zaidi ya unyanyasaji!

    Nimekutana na situation kama hii leo hata saa moja haijaisha. Mimi cjawabishia coz sijui taratibu zikoje.tena nimeambiwa nilipie 132,ooosh kwamba 10% ya kodi ya pango na 1% hata cjui ya kitu gani....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    Kwa kweli inaumiza sana ukiangalia pay slip makato ni makubwa sana, sasa bora mtu ufaidike nayo hiyo nhif isingeuma sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania IST inakula sana mafuta, sijui tatizo

    Mkuu si umjibu tuu kama unajua? Kumbuka utawasaidia na wengine wasiojua na hawajapata nafasi ya kuuliza
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

    Mwenye no ya mbunge wangu ndungulile aniPM
Back
Top Bottom