Acha hizoo mkuu, maisha ni nyumba ndio maana hakuna baba au mama mwenye gari zaidi ya baba au mama mwenye nyumba. Tusingejenga mngepanga nyumba za nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika sana kama amepiga pesa mahali lakini msukuma namkumbuka miaka ya 2000 mwanzoni alikuwa akifanya biashara ya simu wilaya za Lushoto na Korogwe tena kipindi kile alikuwa anawakopesha watumishi wa serikali. Imagine ndio simu zilikuwa zinaingia katika maeneo hayo then unakopeshwa kwa...
Hivi ukiwa unapanda mlima wenye slope kali yaani uliosimaa sana huwa unajihisi vipi? Naamini kabisa dunia iko sphere.
Ni mtazamo wangu tuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani mnatukatia tu umeme kwa mda mrefu bila hata taarifa yoyote. Ni kweli kwamba labda kuna matengenezo yanaendelea au kuna hitilafu mahali fulani, lakini ni uungwana na busara zaidi kama kutakuwa na tangazo juu ya mda gani hadi mda gani umeme utakosekana ili wateja wenu wajipange mapema...
Mimi ni mpenzi sana wa chanels za wanyama na utamaduni kama ilivyo chanel hii mpya ya Tanzania Safari Channel lakin hii yakwetu inaudhi kwa kuscratch. Au ni kingamuzi changu ndio kina shida wadau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio kitu ni sheedah. Hata kama umetumia kwa mda mrefu kisha ukaacha kama wiki moja siku ukianza tena mziki ni ule ule. Unaweza ukaota umedumbukizwa ndani ya pipa la acid halafu hufi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.