Recent content by mlalapuu

  1. M

    Natamani sasa kuolewa

    Yesu alisema anikanae mbele za watu, na mimi nitamkana mbele za baba yangu sasa hapo akili kicwani mwako, ya dunia yanapita tu.
  2. M

    Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

    Nenda kwa nabii tb joshua awaombee mama na mtoto wate watakuwa salama kwa mungu yote yawezekana.
  3. M

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Wasiliana na tb joshua ukipata yale maji yake ya baraka hutakaa uvute sigara tena, mimi nilitumia nikafanikiwa kuacha baada ya kuwa mvutaji kwa miaka 29,
  4. M

    Uhalali wa OFM ya Shigongo

    hapo watu wako kibiashara zaidi, polisi na shigongo, kila mtu anakula kivyake.
  5. M

    Kwanini simpendi mbunge huyu wa Bunge la Katiba?

    Huyu jamaa, ole nadhani ameahidiwa uwaziri mkuu 2015 hivyo lazima ajiwekee mazingira bora yakiutawala kama sio ya kifalme.
  6. M

    GE2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

    kwa tb joshua alienda kufanya nini? Mbona anatenda dhambi kwa kusema uongo?
  7. M

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    mnao mshutumu tb joshua hamjui msemalo, huyo ni nabii wa mungu kama walivyokua akina elia zamani hizo, so usichokijua ni usiku wa giza ,kama unataka kujua ukweli fuatilia emmanuel tv, na kweli itakuweka huru, mungu atujalie tuweze kuijua hiyo kweli amen.
  8. M

    For JamiiForums Mobile users

    Mwalim hii kitu imenishinda, pia nikitaka kuanzisha topic yangu cwezi msaada mkuu
  9. M

    For JamiiForums Mobile users

    Colour=0000
  10. M

    For JamiiForums Mobile users

    ok ngoja tuone
  11. M

    Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

    uwezi jua labda huyo jamaa alipatiwa fursa sasa hiyo ni njia ya kurudisha shukrani
  12. M

    Mgomo wa EFDs: Kilichopo nyuma ya pazia. Serikali isimame IMARA

    watanzania bwana kwa kutoelewa alokwambia wenye maduka hawalipi kodi kakudanganya hiyo ni mojatu kati ya milolongo ya kodi wanazolipa, kodi ni nyingi mno nchi hii.
  13. M

    Dk. Slaa azidi kuchanja mbuga; atoa maagizo nchi nzima 'waraka' wa uasi

    Mnaomchukia dr.sla ambae sisi tunamuona ni mtetezi wa wanyonge, tuelezeni mbadala wake
Back
Top Bottom