Recent content by Mla_Chake

  1. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Wana Dawati Msaada

    Ahsante kwa msaada wako kaka pia Ahsante kwa AI
  2. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

    Uwekezaji usiokuwa na tija na wenye matokeo hasi kwenye ndoa 🚮🚮
  3. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Wana Dawati Msaada

    Naomba kujua huu ni ugonjwa au la na je dawa yake ni nini
  4. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Samia hizi sehemu mbili tofauti utagundua kuna Shida. Ni Aibu

    We jamaa 😂 😂 😂
  5. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ningekuwa CCM hata mniue siwezi kufanya REFORMS kamwe

    Unatafuta bwana?
  6. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ningekuwa CCM hata mniue siwezi kufanya REFORMS kamwe

    Punguza jazba mrembo Leo umekutana na mwanaume wa kweli ondoa hofu
  7. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Hakuna Scam kubwa hii dunia kama kuoa Mwanamke eti kisa kasoma chuo au ameajiriwa ili msaidiane majukumu ya ndani na mfanye maendeleo

    Sasa kama umeondoka nyumbani hujaacha pesa afu unataka urudi jioni ukute pamepikwa utakuwa punguwani wewe sio bure maana hata hao watumishi usipotoa Kodi ya meza hukuti kitu
  8. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ningekuwa CCM hata mniue siwezi kufanya REFORMS kamwe

    Kwahiyo tusitegemee reforms si ndio mrembo?
  9. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kufuta vyeti utumishi ajira portal

    Wapigie bila kuchoka ndugu kuna mwanangu mmoja juzi kawapigia karibu 2hours wakapokea na walimsaidia wakamfutia ye alikuwa amekosea akaweka cheti cha form four ambacho sio verified
  10. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Serikali irudishe ada mashuleni

    Mdau kanenà
  11. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania GE2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

    Awamu hii ya 5 Yani Mungu atusaidie tuu maana daaaah
  12. Mla_Chake

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu course ya Bsc. in Human Nutrition na Bsc. in Food Science and Technology

    Mkuu hapa umebonga Sana big up aisee... Madogo wasiwe rigid kiivyo
Back
Top Bottom