Recent content by mky

  1. M

    Si mmemchukulia fomu 2025, msitusumbue!

    Nchi yetu inazidi kudidimizwa kwenye dimbwi la ufukara wa fikira kutokana na hiki kizazi kipya kinacho itwa MACHAWA,na wakubwa wameshapata advantage/faida.
  2. M

    Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

    Jamani bado gari zake ziko garage zikitengenezwa atarudi uwanjani.
  3. M

    Mwanamke ninayeishi nae amenibadilikia Tabia

    Pole sana ndugu yangu, maana hiyo style ilisha wahi nitokea ila nashukuru niliishinda,ila tu kumbuka hawa viumbe wakianza kuoza kwenye akili yao hawana huruma hata kwa mtoto wake.
  4. M

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Ndo maana waislam husema safari ni haram,ukitaka kusafiri kwa raha usikwepe gharama.
  5. M

    Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

    Kanisa langu la kkkt linapukutika kila kukicha,mtu anamaliza uongozi then anarudia tena kuongoza inamaana tulikosa mtu mwingine kweli?pia limekuja swala la bandari bado kiongozi anajiuma uma tu hatu eleweki tuko moto au baridi.
  6. M

    Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Kwa nchi hii wenye mamlaka hata wakiamua kuanza kuuza raia mmoja bada ya mwingine bado mahakama itabariki
  7. M

    Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Kwa mahakama hii inayo toa uamuzi kwa kusikiliza maelekezo ya wakuu,tusitarajie uamuzi tofauti na matakwa ya wenye mamlaka.
  8. M

    TISS na CCM Party Comrades tumieni kesi ya Mbeya kuokoa Umoja wetu, na Muungano wetu, kuilinda CCM. FUTA IGA

    Tatizo mahakama yetu haiko huru katika maamuzi yake, mpaka hapo naona mahakama itatoa maamuzi ya kulinda aibu ya mama,Kumbukeni kama mahakama itabatilisha huu mkataba basi itaharibu kabisa msitakabari wa CCM mwaka 2025 so kwa vyovyote vile mahakama itatoa uamuzi wa kulinda kiti.
  9. M

    Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

    Mawakili wetu wamethubutu vizuri na wanahoja, sasa je mahakma yetu itaweza kumfunga paka kengele? Ingekuwa pale kwa jirani huu mkataba ungechwanwa mbele ya Bunge kabisa.
  10. M

    Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Ivi bado kuna watu wanasoma gazeti la UHURU? Na hata kama wanasoma habari zake mnaziamini vipi?
  11. M

    Serikali haipoi, yapeleka Muswada Bungeni kubadilisha Sheria ya rasilimali za Taifa

    Alaaniwe kabisa aliye simika bunge la chama kimoja,pia hii inaonyesha jinsi hawa watawala wanavyo tudharau sisi raia, bado tuna kilio cha bandari lkn na anatafuta njia ya kuhalalisha dhamira yake,wananzengo tumekwisha. Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  12. M

    Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

    Anapenda kuwasikiliza machawa wake kuliko kina mzee Waryoba.
  13. M

    Hawa wametumwa na nani? Taifa tunamjua mshindani Mikataba ya Bandari?

    Yani kitenge na wenzake nawafananisha machifu wa enzi za ukoloni,in short 90% ya wandishi wa habari wa nchini kwetu ni zero brain na wala hawajui majukumu yao kiueledi.
  14. M

    Ukiisoma Katiba ya CHADEMA hutaamini kama ndio hao wanaotoa Elimu ya Katiba mpya nchini!

    Inaonekana unachuki binafsi tu na CHADEMA, maana hujatoa hoja za msingi.
Back
Top Bottom