Recent content by MKWECHE

  1. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Kuteswa kwa Kibanda: Kubenea aliumbua Jukwaa la Wahariri (TEF)

    U-menigusa juu ya Mfuko wa NSSF!Mie ni mwanachama wa NSSF lakini nauchukia mfuko huu kuliko kitu chochote Duniani!Mfuko huu ndio kati ya mifuko yenye fomula Mbaya na ya kinyonyaji ya kukokotoa mafao ya mwisho ya mkupuo unapozeeka,wastaafu wa NSSF Ndio wastaafu wanaopata mafao kiduchu wakati...
  2. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayonifanya niipende CCM (vitu walivyotekeleza)

    Una Cheti cha Masters ya Chuo Kikuu cha KATA lakini Huna Elimu ya Masters!Tanzania na Sudani kusini,Somalia,Mali,Gambia nk ni kundi la KIFO katika nchi masikini!Unapotoa mfano wa kujifananaisha na taifa la juzi na ambalo halina amani vita kiala siku basi,Uchambuzi wako ni sifuri! Wana-Jamvi huyu...
  3. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Fagio la chuma la Mwakyembe lapandisha mapato bandari ya Dar es Salaam

    Yaani akifanya Jitihada na Kutekeleza wajibu wake ndio amechoka kuishi dunia hii!Wewe ni mmoja wa Wahujimu uchumi na waharibifu pale Bandarini,ungekuwa jirani ningekuzaba Kibao! Ushindwe na Ulegee!
  4. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    We Ni Mwongo Mkubwa!Kama haukuwa na bidii ya Kusoma na ukapata MBA corp Mgt bila andiko hata UDSM umepata cheti kwa njia haramu!Hakuna chuo kikuu duniani kinachomsukuma mtu akasome darasani bali andiko na mengineyo vitamkaba!Hujasoma mzumbe,acha kudhalilisha MU!
  5. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Majimbo ambayo yachagua mtu ambae amestaafu kwa lazima kwa mujibu wa sheria wameliwa!Mie Jimbo la Kalenga nalijua na Mapungufu nayaona ila nikafikiri nipo peke yangu,nilipo ona wazo lako nikakukubali,Fanya mambo,unganisha vijana,waoneshe wanachokisa waoneshe njia mwisho wa siku watakuchagua!
  6. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Kalenga Haina Bahati ya Mbunge Bora Sijaona!Labda utakuwawewe,Nitakupa Kura yangu!Usingalie Pesa,Mungai Mbona ana Mapesa yuko Yapi!Nakutia Shime,Gombea
  7. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimbo la Kalenga kuweni macho na usanii wa wabunge hawa

    Kalenga Haina Bahati ya Mbunge Bora Sijaona!Labda utakuwawewe,Nitakupa Kura yangu!Usingalie Pesa,Mungai Mbona ana Mapesa yuko Yapi!Nakutia Shime,Gombe
  8. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Temeke na kauli ya ajira> anajua vitendo wanavotendewa vijana walioajiriwa Saud Arabia?

    Ajira ya kazi za ndani ni upuuzi
  9. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Dk Kitima: Ni nchi gani inayoweza kufanya uzembe kwenye ajira kama Tanzania?

    Kitima yupo safi na Canon law yake ya kufundishia major seminary!
  10. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Siasa haizuii mtu kutupa ndoano!Safi lema Kumbe Kidume!Mfate hate CCM alipoenda hakuna kulala mpaka kieleweke!
  11. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Kiini Macho Kingine cha TUME ya Bunge

    Ni vema ukapeleka maoni kwenye tume ili yaingizwe,badala ya kulalamika!
  12. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania CCM ndio waasisi, walezi na vinara wa rushwa katika uchaguzi Tanzania?!

    Mie Mkweche napatashida na kuhuzunishwa na vilio vya Rushwa ndani ya chaguzi za CCM! Mwenyekiti Waoanalalamika,wazee wao wanalalamika,walioshindwa analalamika sasa jamani hii nchi inakwenda wapi! Hawa walioshinda kwa mashaka,kulaumiwa na kutuhumiwa kwa rushwa,kesho utasikia wameteuliwa wakuu wa...
  13. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Sitta kwa Dr Slaa: Asema Dr Slaa Mnafiki, Dikteta

    Hata mimi Mkweche nikiwa Rais naweza kutoa Elimu na Afya Buree kwa kutumia mapato yatakayotokana na uzimamizi madhubuti wa Bandari ya Dar es Salaam pekee!Wengi wa Viongozi tulionao wamefikia Ukomo wa Kufikiri zaidi ya walichokifanya!Ndio Mana kwao kila Kitu hakiwezekani!Mie nawasamee Buree!
  14. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

    Mkishindwaga Kesi hamkawii kusema Mahakama zina Shinikizwa na Hazipo Huru!Mkishinda hamsemi zipo kama zipo Huru!Mkweche siamini watu watu vyama vya siasa!Vyama vingi visivyo na Ukomo ni JANGA ktk nchi!Nchi imedumaa kwa ajili ya SIASA badala ya watu kuchapa Kazi na Kutumia fursa...
  15. MKWECHE

    JamiiForums Tanzania Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

    Ziwe Used(Kuukuu) wasije kujenga Jina kwa Kutuletea MIKWECHE! Zikiwa Mpya Mkweche nitaomba kwa ajili ya Hospitali nayofanyia kazi!Ambulance yetu ni Mkweche!napenda mpya na si Makapi ya UK! Mwalukosi,Tusahau Iringa kwetu!
Back
Top Bottom