akili nyepesi kama zako (zilizojaa ccm) ndo zinazofanya watu tuichukie ccm. utawezaje kuzungumza kirahisi kiasi hiki kwa hoja nzito kama hii...! halafu mtz wa aina hii bado na yeye anauaminisha umma kuwa ni mzalendo? nitakuelewa zaidi kama utakuwa form 4 liver ila kama na wewe ni msomi wa degree na ni mzawa wa nchi hii basi utambue kabisa hujaelimika bado. yaani ni heri tuanze kupigana jaman inchi ikombolewe kama wanaotutawala ndo wana akili KIDUCHU namna hii.
Mkuu hao unawaona wapinzani si wapinzani wapo kwa ajili ya ruzuku tu? Mtikila anaweza kuwa mpinzani mzuri kuliko Dr. Slaa unaziangalia siasa za Tanzania kwenye wigo mwepesi sana; usione tu wakihubiri M4C; siku ruzuku ikiondelewa ndio utajua ni nani mpinzani wa kweli wa kweli hivi sasa kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi. Mkuu watu wanajenga makasri bado hayajakwisha
Chama
Gongo la mboto DSM