Gemu unalopiga kama kawa ni kwa muda tu. baada ya muda maalum kwisha kabisa ndipo utakapojuta. vya muda vinapendeza lakini havidumu. usijejikuta umechelewa, take care. Kuishi kwingi kuona mengi. Jamii Forums is a home of great thinkers only. Kumbuka hadi kutolewa thread kama hii watu wamefanya...
Hivi hao wote hata kama wamelipa vijisenti vichache, bila kukamatwa 'kisarakasi' vingepatikana hata hivyo vijisenti? Hii ni hatua ya kupongezwa 'Sirikali' hii ya JPM. Maana yake upigaji 'dili' ungeendelea kama walivyozoea huko nyuma. Kweli tumenyonywa kwa muda mrefu. Wa kubeza abeze tu kwani ni...
Ulikuwa unatu bip eh! usirudie tena kutuwekea utamu hivi halafu unaingia mitini sawa nameless girl? sirudi tena hapa kwenye post yako, kwa nini kunyanyasa roho za wana wa wenzio hivyo? au umepigwa 'ban na moderator?
Nilidhani unatoa hoja kumbe unapiga kelele! Tazama usivyozingatia kanuni ya mjadala, na badala yake unapiga kelele ili usikiwe. Haya mwenye makelele ni wewe acha wajinga wenzio wakusikilize lakini wenye akili watakaa kimwa na kukutumbulia mimacho tu wakikushangaa.
Kama kweli umebobea kwenye...
UngaUnga kweli una unga, sasa mnasalije au ni mgegedo mwanzo mwisho. halafu kigamboni ya wapi, nilisikia hata Dodoma kuna kigamboni, siyo ya Dar tu. nikaribishe ili nijione
Hujanisoma Miss Chagga. rudia tena. hakuna mahali pa tigo ila akijilia vyake ale hadi ashibe ili kumepusha na vinjaa njaa vya kuwa na macho mbalbu shingo ....
Mkwe, unatafuta dawa wakati unayo mkononi? nakushangaa kabisa kwani nakuona kuwa unanyemelewa na pepo la uzinzi hapo. kemea na chukua hatua thabiti za kiroho. hatua zinazotakiwa ni:
1. Jitambue (unawindwa roho yako) ndiyo maana ni kama kichaa anakulenga wewe tu na siyo wengine.
2. Umeshauriwa...
hek hek hek qwi qwi qwi! sijui what happened next. nijuze tafadhali. you made my day, sijacheka siku nzima hadi saa hizi ndo nacheka tu! watu mnajua! qwi qwi qwi!
Kweli naihurumia jamii ya Watanzania kwani kodi zetu zinaliwa hivi hivi. Yaani gharama kubwa iliyotumika kuwaleta mjengoni waheshimiwa hawa ni ili kufanya utumbo utumbo kama huu? kuna mambo gani muhimu kwa taifa hili na watu wake ambayo yanahitaji kuwa articulated na waheshimiwa hawa hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.