screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,856
- 15,864
Ni wasanii wengi wameimba kuhusu Mama ndani na nje ya nchi, kibongobongo hizi nyimbo 2 za Mama ndizo zilizofanya/zilizowahi kufanya vizuri zaidi na zimetoka katika nyakati tofauti, je ni upi unaukubali zaidi kati ya hizi?
-Mama Yangu by Banana Zoro ft Dknob
vs
-Nani kama Mama by Christian Bella ft Dimpoz
-Mama Yangu by Banana Zoro ft Dknob
vs
-Nani kama Mama by Christian Bella ft Dimpoz