Je, Unaweza kumwekea condom mkeo anaposafiri?

Je, Unaweza kumwekea condom mkeo anaposafiri?

je kuna ukweli kuwa baadhi ya wamama huwawekea waume zao?
huo nao ni upuuzi mwingine uliotukuka!kwanini uwekewe wakati unajua zinakopatika...unaenda kujinunulia mwenyewe...atakapoziona ndo mtakapoelewana vizuri!!
 
labda niwe nimerukwa naakili ndo ntafanya hiyo mambo but daaaaaah,,,,,,..nikimuwekea namuandaa psychologically akazitumie hzo condom
 
Kumwekea kwenye begi lake ni kama kumkumbusha kuwa asithubutu hata kutanua mguu huko. Mke kukuwekea ndani ya begi ni kukukumbusha kuwa kumbuka nyumbani umemwacha mwenzio kama huyo unayemtamani naye hana wa kumliwaza.
Nadhani kama unamheshimu mwenzi wako, huna haja ya kondom. Nitajilinda hata ka ni mwaka
 
Hahahaaaa..... Ukijua utamfanyaje?
mkuu nikisema hapa naweza nikadanganya...reaction itatokana na nilitakavyo gundua hiyo kitu...ila for sure nitalia kwanza halafu ndo maamzi magumu japo sijui ni yapi!
 
Kuna hii hadithi fupi.

Mwanaume wakati anatoka kuanza safari ya kikazi ya mwezi mzima,mke wake alimpa package ya condom akimwambia awe makini huko aendako akizidiwa atumie ndom.

Mwanaume akafurahi akaona mkewe anamjali,lakini kabla hajatoka nyumbani mkewe akamwambia,mumewangu nimejisahau nimekupa condom zote,naomba unipe angalau pakiti moja na mimi................I think you know what happened next.
hek hek hek qwi qwi qwi! sijui what happened next. nijuze tafadhali. you made my day, sijacheka siku nzima hadi saa hizi ndo nacheka tu! watu mnajua! qwi qwi qwi!
 
Huna haja ya kuanzisha huo uzinzi wala kuukaribisha anaweza asiwe anawaza huo uchafu ndio ukamletea hayo mawazo
 
Coclusion : wanaume wako tayari wake zao wakaliwe kwa siri.
 
mkuu nikisema hapa naweza nikadanganya...reaction itatokana na nilitakavyo gundua hiyo kitu...ila for sure nitalia kwanza halafu ndo maamzi magumu japo sijui ni yapi!
Hahahahaaaa.... Eti utalia kwanza.
 
Hivi unadhani ukiwekewa condom utathubutu hata kufododana huko uendako?
You won't dare
 
Maisha ya kufikirika hayo!Watz hatujafikia aina hiyo ya maisha

Hata mke ajue mmewe ni zoa zoa anapo safiri hawezi muwekea mmewe kondom
 
kuna mambo mawili niliazmia kutoyatenda maishani
1.kutokuwa na wapenz wawili at once...(hilo nimefanikisha) nahakikisha mmoja sipo naye kabisa ndo natafuta wa2
2. nikioa, ctoruhusu uzinz ndan ya ndoa yangu kabisa...SIKU NITAKAPOJUA mkewangu amezni talaka lazma. Na hata nikiona dalili za waz kwamba ni mzinifu lazma nimuache...PIA cku mkewangu akigundua nimezni ama hakika nitaunda kamati na vikao vya nguvu kumuomba wife aniache..UZINZI kwenye ndoa NO....NIMEONA athari zake jamani

SASA ETI MKE ANIPE KONDOM nisafiri nazo!!? au ETI CKU MKE ANITAMKIE "mume wangu kafanyie mbali unapozdiwa kwa kuwa nalea!!? hata kama alipendwa vipi, asubuh TALAKA...raha na amani ya ndoa usipenye UZINZI, chunguzen hilo
 
Kwa zama hizi za mfumo dume... mwanaume kutoka nje inaonekana ni jambo la kawaida, ati ameshindwa kujizuia... ila mwanamke kutoka nje ni umalya... kwa hiyo hata mkeo atahisi unamuona malaya na mnaweza gombana...
 
Hivi ukampa, halafu akakupigia simu huko aliko kuwa zimeisha mtumie pesa akachukue zingine... Utamlaumu au kumkasirikia?!
 
Back
Top Bottom