Recent content by Mkwaruu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Tumsifu Yesu Kristo. Hii sala anakuja kuomba Padri kwenye familia husika au inakuje. Asante Mungu akubariki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bongo hapo zamani:Lipumba niliyekutana nae akiwa na chupa ya maji mkononi.

    Mku ukiyaambatanisha ingependeza zaidi. Kwani mtu atakumbukwa kwa mzuri aliyoyafanya au kutenda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bongo hapo zamani:Lipumba niliyekutana nae akiwa na chupa ya maji mkononi.

    Kuna lipi la kujifunza kwa Mtu aliyeamua kukisambatisha chama.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Jumuiya ya Kimataifa wanasubiri nini kuhusu Rais Magufuli na utawala wake?

    Mtego wao uchaguzi mku ndiko mchezo ukakoanzia yaani pale patakatokea kutokutenda haki . Yapo mengi huwa huwayangalia kama ushaidi tosha wa kuwasaidia ili kuweza kudili na jambo husika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtangazaji wa DW, Mohammed Dahman afariki dunia

    Mwenyenzi Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi. Amina
  6. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    Mungu ni mweza wa yote na atamponya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ninaanza kupata mashaka zaidi na usalama wa Melo na ni bora achukue tahadhari zote muhimu

    Mwenyezi Mungu muweza yote amlinde na kumpatia amani na nuru
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

    Pamoja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifungashio vya plastic

    Nenda kariakoo ktk soko nje kuna jamaa anaitwa Anzuan hapo kila kitu utapata
  10. M

    JamiiForums Tanzania Membe 'awavuruga' viongozi wa CCM, wahaha kusaka hatua za kuchukua

    Mku kwani Membe na team jk nani zaidi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Muda muafaka wa kwenda Mahakama Kuu, umefika

    Lissu Mwenyenzi Mungu akubariki na kukupa uhai na Wewe pia .
  12. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba, pamoja na wewe kuwekeza kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kupaisha jina lako ,mitandao hiyohiyo imekumaliza

    Mku maisha ya Mtu ni mwenyewe na jitihada zake. Ninaamini wewe kumwombea mwenzako kuchakaa ni mfano mmbaya sana kwa Mtu mwenye roho hiyo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Nimeshajitoa kutumia
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: General Alfred Mbowe afariki Dunia, Msiba upo Salasala Dar Es Salaam

    Pole sana Mbowe na Mungu akupatie nguvu na ushupavu katika kipindi cha majonzi
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM na Roho ya Mauti

    Mku kama ina ukweli
Back
Top Bottom