My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,334
Mara nyingi mtu anapokaribia kufa huwa hajielewi yupo ktk position ipi ,huwa anakuwa na vituko vingi, na hata anapobaini kifo chake kuwa kimefika tayari huwa anajaribu kukataa kufa huku akijua kabisa kuwa hawezi kugoma kufa.
Hakuna kiishicho milele, aishiye milele yupo mmoja tu, naye ni Mungu wa mbinguni.
Sasa kifo cha CCM kimewadia, vurugu inayoendelea CCM inanikumbusha kifo cha KANU ya Kenya, nayo ilianza kwa kupasuka ndani Kama ilivyo CCM.
Mwisho wa siku waliishia kugawana hadi mbao za ofisi.
Unapomfanyia mtu jambo baya ili ateseke mara nyingi wewe ndo utaishia pabaya tu.
Kununua wapinzani, kutesa wapinzani, kuua Demokrasia walitarajia ndo CCM itakuwa imara,huo ni umbumbumbu wa hali ya juu kabisa.
Uimara wa chama unatokana na serikali ya chama husika kuinua uchumi wa watu ndo chama kitakuwa imara automatically kwa sababu utakuwa na la maana na la kuonekana utakalowaambia wananchi wakuelewe.
Maisha ya watu magumu kupindukia, hakuna ajira wala mabenk maalumu ya mikopo yenye masharti nafuu ili kuwawezesha watu kiuchumi.
Wafanyakazi hawajawahi kuongezwa kuongezwa hata cent zaidi ya kufukuzwa, mzunguko wa pesa umekufa, na Biashara zimekufa.
Kila siku tunaimbiwa, SGR, stigler gorge, ndege na viwanda, sasa sijui watu wataendelea kuteseka hadi lini, huku tukielezwa hiyo miradi ni ya pesa za ndani.
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyojenga infrastructure zake kwa pesa zake za ndani wakati ikiwa bado maskini, Tanzania inakuwa ya pili baada ya Ethiopia.
(I stand to get corrected too)
Halafu eti bado CCM ina ndo za kuendelea kuongoza, kwa umasikini huu mkubwa uliopo bado wanaitakia nini Tanzania hawa watu?
Mwaka 2020 ndo kifo rasmi cha CCM na mazishi yatafanyika kwa amani kabisa.
Magufuli akiona anazidi kutengwa anaweza kuanzisha chama chake, 2020,kutakuwepo na CCM A na CCM B.
Halafu zitakufa zote na upinzani kuchukua nchi .
Nafahamu jinsi ambavyo vijana wa CCM watakuja na kejeli, kujibu hii mada, lakini hilo halitoi ukweli wa kifo cha CCM, chama kilicholeta umasikini wa kutupwa Tanzania.