Recent content by Mkwamishaji

  1. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Ijue zaidi kazi ya real estate

    Real estate sio kazi, real estate inajumuisha ardhi na kitu chochote kilichoshikana (permanent attached) na ardhi. Real estate agency ndio kazi kama ulivyoeleza.
  2. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Kwa Huduma za Dereva (Personal Driver) Arusha watafute hawa.
  3. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    0755750505
  4. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Wakazi wa Arusha tupigie sasa 0755 750 505
  5. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kufua nguo Arusha (wash & fold service; Pickup & delivery)

    Asante mkuu kwa ushauri..ntaweka hapa bei japo ni bei za kawaida.
  6. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kufua nguo Arusha (wash & fold service; Pickup & delivery)

    Tunatoa huduma ya kufua nguo Arusha kwa gharama nafuu. Huduma inajumuisha kufata nguo na kurudisha kwa mteja. “Nguo ni kama mali nyingine zinahitaji uangalizi” Karibu tukuhudumie, huduma hii ni kwa mkoa wa Arusha pekee Contact: 0755 75 05 05 Evareth clothe care
  7. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Natafuta kampuni ya ulinzi Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kampuni ya ulinzi iliyopo Arusha. Kwa yeyote mwenye kufaham au mmiliki naomba details zako PM.
  8. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

    Mimi nimesoma REFI (real estate finance n’ invest) ni kozi nzuri sana ila kwa TZ bado sana, inakupa maarifa mengi sana kuwa tayari kujifunza baadae utafaidika.
  9. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

    ARUSHA mda huu
  10. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

    Hali inanza kuharibika tena, upepo umepungua lakini vumbi limeziba anaga
  11. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Usafiri Arusha Shinyanga

    Shukrani sana
  12. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Usafiri Arusha Shinyanga

    Sijawahi kwenda Shinyanga na hapa Arusha ni mgeni
  13. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Usafiri Arusha Shinyanga

    Mm ni me mzee
  14. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Usafiri Arusha Shinyanga

    Natarajia kusafiri kutoka Arusha kwenda Shinyanga siku ya J/mosi, nahitaji kujua basi zuri.msaada tafadhali
  15. Mkwamishaji

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuzamia Uwanja wa Taifa Zamani tukutane hapa

    mimi nilikua naomba mtu mzima anishike mkono alaf nikifika ndani kimpango wangu ila nilisukuma sana walemavu
Back
Top Bottom