Recent content by Mkwamilaisenga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kapugi-Tukuyu: walisema kahawa basi, hailipi- sisi na ndizi tu!!!

    Umeongea sahihi sana Janken jr ubarikiwe sana ningali nakumbuka miaka 80,90 jinsi kahawa ilivyokuwa kapugi na maeneo ya undali kama sange,lubanda,luswisi, bwenda nk na mbozi pia angalau sasa baada ya serikali kurudisha ushirika bila shaka wananchi wataanza kulima kwa kasi kama miaka ya nyuma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makala: Haya ya Rose Muhando ni mapito au anguko?

    Unajua mapepo mengi tuliyaskia kwa ubaya sana ila kwa hili la rose pepo anamkumbusha na kuvuta sketi isionyeshe paja kwa waumini nimelipenda nafikri nimeanza kutambua mapepo mengine kama haya yako vizuri
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kapugi-Tukuyu: walisema kahawa basi, hailipi- sisi na ndizi tu!!!

    Kipo 8.7 km toka tukuyu mjini ni kata ya malindo nafikiri mwandishi alikosea kuandika kitongoji cha tukuyu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kapugi-Tukuyu: walisema kahawa basi, hailipi- sisi na ndizi tu!!!

    Umenikumbusha mbali nimezaliwa na kukulia kapugi miaka ya 80 kwa babu badae tukahamia iringa lakini bado kumbukumbu ya mto sasa,mlagala kule ,lumbila,malindo,ibabo inajia sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

    Huenda wanavaa kama emergency ili wakitokea wadada wenye shida wawape
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani naweza kuanza kilimo kwa vitu hivi nilivyo navyo?

    Njoo mkoa wa songwe mi pia nalima alzeti
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu nzuri ya muhogo

    Mkuu napatikana mkoa mpya wa songwe nahitaji mbegu ya mihogo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

    Inaonekana ni nzuri inapatikana madukani hii
  9. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ hili la kuruhusu ' Baa ' zenu zilizopo ndani ya Kambi zenu waingie hadi ' Raia ' mliangalie kwa umakini mkubwa

    Ni kweli kabisa jambo kama hili la kijamii la kupiga bia za bei chee na wajeda kuna watu wanajifanya inteligensia sana kutaka kuonekana linaharibu afya ya usalama
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa kupata vitambulisho NIDA

    Hapa shida sana kuanzia kwa wafanyakazi wake mpaka mchakato wa kukipata hata kikitoka wale vijana wa nida ni wasumbufu sijawahi pata mi mpaka sasa nimeamua kuachana nacho maana hawa wadada wa vwawa hapa wanasumbja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbozi Katala: Diamond Platnumz aliwahi kuniomba poda alipokuja TBC1 enzi hizo

    Wa kiume usishangae mapoda ....anyway mnatupa taabu sana wa mikoani kuwaelewa Wanaume wa dar
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoonekana Iringa kiutendaji basi Tanzania ina safari ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli

    Kuna wati Kuna watu wanawajibishwa na hawako chini yake hapo kuna mkurugenzi Ras afisa utumishi nk sijui kama hawa watu wanapewa semina elekezi kabla ya kupewa hivi vyeo maana naona kama wanaongozwa maan mizuka imewajaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbozi Katala: Diamond Platnumz aliwahi kuniomba poda alipokuja TBC1 enzi hizo

    Nimeshindwa kuelewa ina maana na mbozi katala(me) kuna wakati anatembea na poda au sijaelewa .... Mmmh basi wanaume wana dar sisi wamikoani tunapata taabu sana kuwaelewa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Eliakimu simpassa mbozi mashariki
Back
Top Bottom