THANKS A MILLION ,MKUUMy advice if your serious
Nenda LINDI kwenye wilaya ya nachingwea, kilwa kivinje au hata newala mi kuna jamaa nimemaliza nae chuo now yuko huko for almost 2 years na mambo yake yanaenda poa tu analima zaidi UFUTA, ALIZETI A LITTLE BIT na kununua korosho msimu ukifika. And he was started with a capital of 3ml only. Best of lucky mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda mkoani Morogoro wilaya ya kilosa kata ya Msowero, mimi naishi Dar ila naweza kuwa mwenyeji wako maana mimi ni mzaliwa pale kama upo tayari niPM namba zako tuonane nikupe mwongozo wa kutoshaPOA ,MKUU
shukrani kwa ushauri, naamini haujamdaidia aliyeomba tu. tupo wengiUkitulia unatoka mkuu, Moro achana nako piga chini sikushauri gharama za kukodi na kulima ziko juu wenyeji wazawa waswahili swahili, songea niliendaga mara moja tu kitambo kidogo ila kilimo cha mahindi na soya kipo safi nategemea kufanya tena survey mwaka huu mwishoni nikatembelee msimu wa kilimo, una trekta la aina gani mkuu alizeti jaribu kusogea maeneo ya dodoma. Tenga hata mwaka huu ufanye survey ujiridhishe, show simamia mwenyewe mwanzo mwami, never trust anyone kama huna muda wa kusimamia mwenyewe bora uache kaka watu wabaya sana hawana uchungu na vya watu kabisa anakufilisi na kukutia hasara haoni uchungu hata kidogo. Ukikomaa jaribu shinyanga kuna mbuga safi za mpunga, ukitoa mpunga unaweka dengu. Jaribu kukodi mashamba, usinunue bana matumizi kadri iwezekanavyo, kilimo kinatoa sisi wengine tumeanguka ila tumejua tulikosea wapi hatukati tamaa hata hivyo tunajipanga upya,
N.B Anza kidogo mkuu wangu its not a race its a marathon
vp una pajua vizuriRuvuma 100%
Sent from "La -Vista"
Yah vizuuur saaana mkuuvp una pajua vizuri
Na ukitaka kujua chochote u cn askvp una pajua vizuri
Hizo mbegu unapewa wakati msimu wa mvua umekwisha na watu wameanza kuvuna mida hii?
kwa hiyo mkuu unafanya kitu gani mpaka sasaNINA TREKTA
MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI
KANIUNGANISHA NA WANUNUZI WA UHAKIKA NITAKAPOVUNA MAZAO
KANIPA NA 8 MILLION KWA KUANZIA
SWALI LANGU NI MOJA,MKOA GANI NAWEZA ANZA KILIMO?
mkuu we ni mwenyeji uko?Ruvuma utapata mashamba makubwa hadi utakinai.
Hapana ila huwa naenda mara nyingi.mkuu we ni mwenyeji uko?
Njoo mkoa wa songwe mi pia nalima alzetiNINA TREKTA
MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI
KANIUNGANISHA NA WANUNUZI WA UHAKIKA NITAKAPOVUNA MAZAO
KANIPA NA 8 MILLION KWA KUANZIA
SWALI LANGU NI MOJA,MKOA GANI NAWEZA ANZA KILIMO?