Wazee wenzangu, Ukuu was mkoa ni kazi isiyo na mashiko. Ni political commissar was mkoa. Useless job iko pale kuisaidia ccm ishinde chaguzi. Power sake kawekewa kwenye kamati ya ulinzi na usalama. Hata budget kisheria mgao ni wilayani. Kweli cheo kimemzidi umri. Jukumu la Kufunga gidamu haiko...
Clouds has to a large extent become irrelevant. What with bigoted managers like Ruge. Nilisikiliza zile fursa ngapi sijui, aaaarrggghhh just ordinary stuff. Surprisingly Ruge thinks he was being brilliant. Aendelee kuwaramba tu mabinti pale. Ndio interview zake
Wakuu kwenye uislamu hakuna talaka tatu kwa mpigo. Huu ni upotoshaji mbaya. Talaka ni moja kwa wakati mmoja. Inatoa nafasi ya upatanishi na maelewano. Kama unatoa moja halafu mnapatana mnarudiana inakuwa safi. Mkiachana tens knakuwa ya pili. Ikitokea mnaachana Mara ya tatu basi ndio kimoja hadi...
Hizo Vogue hapa mjini technically ni zetu coz zinatokana na wizi wa kodi zetu. Dah watu wanaishi na kutanua sio kwa faida za biashara zao Bali wizi kodi zetu. Mungu saidia
Wakuu Rashid ni mjukuu wa Mohd Shamte. PM wa serikali iliyopinduliwa ZNZ. An alcoholic to say the least. Hicho kiingereza chake cha mikwara tu nothing to write home about. Kampuni ya Noni na yule mbia wa Voda. Wana project ya umeme upepo Singida. Ni wakwepa kodi wa kawaida tu.
Hawa makaburu weusi kama huyo Hoyce Temu huwa wananishangaza sana. Waswahili husema 'Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo'. Hoyce kwa muonekano ni MTU mwenye inferiority complex kubwa kwenye nafsi yake na inamtesa sana. Ndio maana Mara moja moja apatapo fursa hujitokeza hadharani kwa uwazi...
Hivi bandugu utajiri wa Deo hauwastui. Wa ghafla na usio na maelezo ya kueleweka. Kuna mtu humu kauliza Deo alikuwa akifanya kazi gani nje ya ubunge. Partly Deo aligharamia umaarufu wake. Kila alipotoa mfuko wa simenti au akishika beleshi kujitolea kujenga zahanati huko Ludewa alihakikisha...
Kila miaka mitano mtakaribisha jangili litakalo wasafisha halafu mtarudi hapa jf kutafuta ushahidi na kuomba sheria ibadilishwe. Watz mazuzu duniani mnaongoza
Haihusu music. Tunaishia kusikia Toto lake tifa, shangingi lake zari, na majina kibao. Creativity gani ya nyimbo INA majina ya family yake kiasi hiki ukasema this is music. Stupidity yupu. UPE imeua ufikiri nchi hii. Balaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.