samahani ndugu zangu nina subwofer ya sea piano ina muda kidogo toka naitumia ni zile za kizamani sp 1002 ghafra imeanza kuunguruma kama transfoma hata kama cjaiconnect na component nyingine inaunguruma hadi kero lkn inalia ukiiconect ila muungurumo hauishi mziki hausikiki vizuri hii imetokea...
Asante kwa elimu mkuu ila kuna jambo nahitaji kulijua vzur limenipa ukakasi pia ni kukosoe kidogo hapo kwenye indication ya 50/50, indication ya pep ni 99% endapo itatumiwa kwa ufasaha.
Nachohitajikukifahamu ni hapo uliposema kwamba pep ndo hzi ARV wanazotumia waathirika kufubaza makali ya...
Kinacholeta shida ni namna nature ya mji wa tarime ulivojiweka. Kwanza ni mji ambao mabwanyenye(watawa, watu ambao wanajiona wao ndo kusema na walioshikilia uchumi wa tarime) ni wazawa hakuna mtu kuja alieweza kuwekeza uchumi nae akaonekana kwaio wanajitawala wenyewe hii inawapa kiburi sabu...
Kila lakheri mkuu, sitasahau wema wako tumefanya kazi muda mref ila polisi walinigeuza kama kitega uchumi + figisu kazi nliiona chungu all the same ukipatikana mchongo mwingine nipo tayar...wasalimie hao wazanaki.
***** hawa mbwa wanakera kinyama alafu nao wanakula kwa kodi za wananchi kwamba wapo kazini yani asee mi washanifika kooni kabsa kwanza no zao tu waloweka kwenye website yao ni hazpatikani 24 hrs ukiwafata kwenye email ndo hawana muda kabsa cjui wanawekaga mawasiliano yann nchi ya hovyo sana...
Poleni na majukumu wanajamvi, nahitaji msaada kwa mwenye ufahamu juu ya hili, mwanafunzi aliyesajiliwa kama diploma taker ktk kozi ya pharmacy akaamua kuishia ngazi ya cheti ni hatua gani anaweza kufanya ili aweze kufanya mtihani wa leseni? Kama inawezekana ama haiwezekani hadi amalize diploma
hao madogo mistake waloifanya ni kukubali kuandika barua ya kukili huo tayar ni ushahidi tayari wamekubali walitenda kosa though sheria ni msemo kunauwezekano mkubwa wakuzipinga hizo barua na madai yao yakawa na mashiko hilo linawezekana kabsa kwa upande wa huyo madam pia anaonekana sheria...
confirmation ya mwisho ni ratiba kutoka nacte mpaka sasa hakuna chuo kilichokwisha pewa ratiba utaratibu wa nacte ratiba hutolewa mwez mmoja kabla ya mitihani probably lolote linaweza kutokea trh ikasogezwa mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.