Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara
1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati
Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
Israeli ya Kale ni jina la watu au taifa walioitwa taifa teule katika Tanakh au Biblia ya Kiebrania (kwa hiyo pia katika Agano la Kale lililo sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.
Kihistoria waliishi katika nchi iliyoitwa Kanaani, halafu Israeli (baadaye pia Palestina) kuanzia mnamo 1200 KK...
Mirungi mishisha mibangi we mwashambwa,
Mirungi mishisha mibangi we mwashambwa,
We Mwashambwa we mwashambwa mwashambwa,
We Mwashambwa we mwashambwa mwashambwa,
Mirungi mishisha mibangi we mwashambwa,
Mirungi mishisha mibangi we mwashambwa,
Yaani wewe uue wenzako Mungu akuache tu! Yaani wewe uonee wenzako Mungu akuache tu!
Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara?
Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake...
Ndio maana hata wakiwa kazini hawafanyi kazi kwa bidii muda wao mwingi wanatumia kuwaza kubebwa hata wakiharibu kazi.
Wakiharibu kazi hawaogopi maana wanajua watabebwa.
Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara? Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake. Mfugaji ndiye hakimu wa mifugo yake. Ushindwe na kuregea kwa jina la YESU.
Ni kweli mkuu nakubaliana nawewe kabisa kuhusu jinsi mabodi mengi yanavyoendeshwa kisiasa na kimaslahi badala ya kuzingatia maendeleo ya kitaaluma na mchango wao katika jamii. Ni muhimu kwa mifumo ya udhibiti na usimamizi katika taaluma kufanya kazi kwa uwazi, uwajibikaji, na kwa faida ya umma...
Mheshimiwa Waziri,
Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.