Recent content by mkurugenz

  1. M

    Rais Kikwete aagiza shule zote za kata nchi nzima kuwekewa Umeme haraka!

    mkuu ni kweli umeme ni muhimu kuwe shulni ila sia zaidi ya walimu na zana za kufundishia,kama kutakwa na umeme hno walimu ,no vitabu then no izo kazi unazozungumzia labda uchai simu
  2. M

    Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

    jamani huko Arusha idara ya usalama wa Taifa ipewe more back up
  3. M

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    sure mshara wa mwalimu gradute 585000 haumfikii nurse wa diploma ni zaidi ya hiyo
  4. M

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    R.I.P mama zitto,pole zitto kwa kufiwa ni mapenzi ya mungu,kuwa na roho ya uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi
  5. M

    Kificho ndiye Speaker wangu.

    Nami nimemkubali Kificho katulia sana ktk maamuzi na msikivu asie na jazba wala majibizano
  6. M

    Msaada wa haraka: Namna ya kuistall window server 2008 ila siioni drive niyotaka kuistall

    Salaam wakuu. Laptop yangu ina parttion 4,drive C nimewka OS ya W7,D na documents E nimeformat nataka kuistall window server ila nikifika sehemu ya kuchagua drive yakuistall naziona drive Can D tu, E na G sizioni hivyo kafanya nishinwe kuweistall Wserver, wakuu tatizo linawea kuwa ni nini...
  7. M

    Msaada wa haraka: Namna ya kuistall window server 2008 ila siioni drive niyotaka kuistall

    Hapana sina uzoefu sana katika wserver,nataka kuistall then kuifanyia mazoezi
  8. M

    Msaada wa haraka: Namna ya kuistall window server 2008 ila siioni drive niyotaka kuistall

    E nimeiformat ila G ina documents, basically nataka kwa ajili ya kufanyia mazoezi sio kutengeneza workstation
  9. M

    How to make symbols with a keyboard

    poa kk upo juu,it works thnks
  10. M

    Msaada wa haraka: Namna ya kuistall window server 2008 ila siioni drive niyotaka kuistall

    Wakuu salaam: Wakuu,laptop yangu ina partion nne (4) Drive(C) niwemeka OS ya W7,D kuna documents E iko empty na ndiko ninakotaka kuistall Wserver2008 then G pia ina doc,Tatizo linakuja pale ninafika shehemu ya kuchagua drive ya kuistall window naziona drive C na D drive E na G hazionekani...
  11. M

    Msaada wa haraka: Namna ya ku-unhide folders zilizokuwa hiddened ktk flash

    WANA JF,SALAAM Naomba mnisadie namna ya kupata foldes zilizojifica ktk flash naona files tu folders sizioni ila flash inaonesa imejaa,Nawasubiri na asanteni
  12. M

Back
Top Bottom