Msaada wa haraka: Namna ya ku-unhide folders zilizokuwa hiddened ktk flash

Msaada wa haraka: Namna ya ku-unhide folders zilizokuwa hiddened ktk flash

mkurugenz

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
241
Reaction score
21
WANA JF,SALAAM
Naomba mnisadie namna ya kupata foldes zilizojifica ktk flash naona files tu folders sizioni ila flash inaonesa imejaa,Nawasubiri na asanteni
 
Hapo kweny drive unaweka letter ya drive yako like I j k etc kutokana na location ya disk yko ukiweka kweny pc
 
Back
Top Bottom