Kwanza miaka sisi tunakuwa ilikuwa mafundisho ya kipaimara yanalenga kutujenga zaidi Kiimani,upendo na ushirikiano na siku ya Kipaimara(Ubarikio)ikifika watoto wote waliobarikiwa pamoja na wazazi wao tunashiriki Sherehe happ happ kanisani,mtakula pilau nyama soda kibao baada ya hapo wazazi na...
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi ya sherehe ya ibarikio wa binti yake Mwezi Decemba bahati mbaya sikwenda leo ananipigia kuwa kikao...
Habari,nina malalamiko kuhusu ndugu zetu wa NSSF mkoa wa mtwara hasa wilaya ya masasi kuna watumishi walikuwa wanafanya kazi kituo cha afya REHEMA newala na walikuwa wanakatwa pesa zao lakini walivoondoka kazini mpaka leo hawajapata pesa zao na wengine wamefariki wakiwa hawajapata kuna ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.