Naomba ushauri: Ni exposure ipi ya HIV ni hatari kwangu?

Nilishauzaga mechi kipumbavu miaka 7 iliyopita tena kwenye njia ya hatari sana,,
Mpaka leo naikumbuka ile siku,
sjawai pima hiv miaka yote hiyo toka kipind kile ,ila toka ile siku sijawai uza mechi tena,
Kila nikikumbuka ile siku nakosa amani.
But life goes on and am good.
Miaka 7 dalili zingekua zishaanza kuonekana. Uko salama kabisa.
 
PEP = Post-exposure prophylaxis

Post-exposure prophylaxis, also known as post-exposure prevention, is a medical treatment started after exposure to a pathogen in order to prevent the infection from occurring. Ukipita mazingira hatarishi unapewa hiyo within 72hrs kuokoa na maambuziki.

Hii INA TOFAUTI kidogo na ARVs ingawa ina baadhi ya side effects zinafanana.

Cc Joanah
PEP ni sawa na ARVs
PEP ni ARvs
huyu ambaye amefanya ngono isiyo salama ndani ya masaa 72 akitumia Arvs kwa mwezi mmoja ndio tunasema PEP
lakini yule ambaye atagundulika teyari anamaambukizi ndio atatumia hizo ARVs maisha yake yote.
 
Dah unaonekana wewe ni muoga Sana!sio lazima upate maambukizi unapokutana na mtu mwenye virusi...watu waliotumia ARVs kwa usahihi zaidi ya miezi 3 ,asilimia kubwa huwa hawaambukizi partners wao
 
Mrejesho vip
Mzee ni wew nin...maana nawew na ile kipimo chako cha mistar miwil mrejesho hujaleta....kwahyo unamskilizia mwenzio

Ila watu mnato.mbana saana jaman.halaf kavu...mbona hatar sana wakuu

Mbona mi siwez risk maisha hvyo..au ngono kwangu si muhim kama wengne nn
 
Strain ya HIV iliyoko sasa ni weak sana, huwezi linganisha na zile za miaka ya 80,90,
Saa hizi HIV ni kama mafua tu
 
Mzee ni wew nin...maana nawew na ile kipimo chako cha mistar miwil mrejesho hujaleta....kwahyo unamskilizia mwenzio

Ila watu mnato.mbana saana jaman.halaf kavu...mbona hatar sana wakuu

Mbona mi siwez risk maisha hvyo..au ngono kwangu si muhim kama wengne nn
Mkuu mim sinilileta mrejesho wakukomfem majibu
 
prep hufanya kazi kabla ya masaa 72...subiri miezi mi3 ifike ukapime tena. Na prep huwa inatmika kwa emergency na mara nyingi hutumika na wahudumu wa afya ambapo wakiona kuna ajali imepatkana either kuchomwa na sindano wakat wa kumshona mtu au vinginevyo. Haiwez fanya kazi baada ya masaa 72. Subiri muda ufike.

Kuwa na amani huenda majib yakawa mazuri kama hujasimamia ukucha lakini.

All in all condom ni muhim au baki njia kuu. UKIMWI unaua.

Sent using Jamii Forums mobile app
H a ha ha hivi kumbe kusimamia ukucha ndio chanzo cha kunasa wadudu toa io elimu vizuri mkuu kumbe wazee wa sekunde 5 hawana hatari yoyote
 
Back
Top Bottom