Recent content by mkulungwa02

  1. mkulungwa02

    John F. Kennedy, CIA na Lee Oswald: Ujuaji Vs Dola, Kitendawili cha dunia ambacho hakijateguliwa mpaka sasa

    Ni ndefu mno ila haichoshi Niliisoma nikalala nikaamka nikaendelea nikalala tena mpka imeisha
  2. mkulungwa02

    Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Manake kwa Tanzania hamna ma field Marshal au? Na kama wapo hizo nembo zao zikoje?
  3. mkulungwa02

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Kujiongeza kuliwabeba sana(akili ya ziada) waliyokuwa nayo ndo iliwapa fursa ya kututawala Mzungu wa kwanza kufika afrika hata alikuwa hajui anaenda wap akatokea na kujikuta yupo kwenye ardhi yenye rutuba,maliasili za kutisha na kila zuri lipo ndipo akarud kuwambia wenzake kuwa kuna sehemu iko...
  4. mkulungwa02

    Mjue Vice President wa Makampuni ya Alibaba Duniani: Judy Wenhong

    Kumbe lengo lako ututambie kuwa alikuwa mwanamke
  5. mkulungwa02

    African-Americans ni wabaguzi kuliko wazungu, waliporudishwa Afrika waliwauza wenzao kama watumwa

    Mbona thread yako haina connection unaongelea nini sasa Mm cjaelewa
  6. mkulungwa02

    Je, Askari akiua ni dhambi kwa Mungu ?

    Ya kaisali mpe kaisali ya Mungu mpe Mungu Ukichanganya Sheria na Dini utaishia kufeli
  7. mkulungwa02

    Uchambuzi wa kitabu cha My Life kilichoandikwa na Bill Clinton

    Leo nimekubali broo hongera Umechambua kwa uwezo wako kama kuna mtu hajakisoma hichi kitabu anaeza hisi umekiandika chote HONGERA MKUU kwa uchambuzi huu
  8. mkulungwa02

    Diamond Platinumz FC

    Hebu irudie kuiandika hii ,kama cjaelewa maana yako? Au kuna ujumbe ulitaka tuupate hapo?
  9. mkulungwa02

    Hivi itakuwaje siku Messi na Ronaldo wakachezea timu moja?

    Ronaldo usimfafanishe na viumbe wa ajabu Hata akicheza timu moja na huyo boya Ronaldo ataendeleza ufundi na ufalme wake ktk soka duniani
  10. mkulungwa02

    Naomba msaada wa kuondoa madoa na chunusi usoni

    Jitahidi kuoga vzuri tu Macream yatakuchubua na kukuongezea hyo michunusi Naomba kuwasilisha
  11. mkulungwa02

    Anatokwa na vitu kama usaha uumeni

    Ukiliwahi halina tatzo,ila ukisubiri liwe sugu ndo tatzo
  12. mkulungwa02

    Anatokwa na vitu kama usaha uumeni

    Sio ishu sana Mkuu kikubwa wahi tu kwa doctor mambo zote ztakaa frsh,narudia wahi mapema
  13. mkulungwa02

    Umewahi kupima "UKIMWI". Nani alikushawishi?

    Hyo story umetunga sasa swali wewe umepima? Au umewah pima?
  14. mkulungwa02

    Anatokwa na vitu kama usaha uumeni

    Hilo ni Gono nenda hata hospital nyingne akapimwe tena jibu litabaki ni Gono hilo
Back
Top Bottom