Anatokwa na vitu kama usaha uumeni

Anatokwa na vitu kama usaha uumeni

Yani nilikuwa sisikii maumivu yoyote yale, hata kugundua kwenyewe ni baada ya kuona boxer inaloa
 
Tumia dawa inaitwa AZUMA zina Azithromycin Dihydrate.
IMG_3585.JPG


Utanikumbukaaa
 
kuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa wa ngono ila ana uti kali inawezekana hii,
Gono ilo
 
Back
Top Bottom