Nahitaji kuanza biashara ya Pweza, kwa aliyewahi kufanya au anafanya biashara hii tafadhali aniambie niandae shingapi , na anipe njia ya kumdhibiti dogo nitakaye muweka asiniibie. Asanteni.
Niende kwenye mada husika,
Unakutana na mwanamke hakujui humjui ila mmekutana tu sehemu ya service fulan, baada ya muda anaanza kukusimulia matatizo yake na Mume wake kwa kukutaka ushari, mara ooh Mume wangu anarudi usiku sana amelewa, asubuhi anaondoka haachi hela ya matumizi nk.
Hivi...
kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
jamani ila mi nakubali sana Roman kwa kitu kimoja ni mvumilivu sana hapigiki kilahis, mtakubaliana na mimi mlioangalia ile mechi ya Brock na Roman mwaka juz km cjakosea, kama si Setth kuhalibu ile mech lazma Roman angechukua mkanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.