Recent content by Mkulu p

  1. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokutana nacho jana Temeke sina imani na wanawake wa Dar

    Ungeingia uchangamshe damu kidogo,ila hamnaga ufundi kwa wale watu ndom yako unatema fastaaa unatoka Na shombo zako kwenuu...
  2. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girls are fooled by Media to an extent wanapoteza sense of humour and their real image of nature

    Some girls are like dollz...anavotembea,alivovaa,anavoongea Ni maigizo tupu...awa kina Rihanna wa mbagala Na Kina nik minaj wa kibongo Ni tatizo sana
  3. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo usiyoyafahamu kwa baadhi ya wadada wanaotumia mtandao wa mapenzi wa Badoo

    Naipenda badoo,naipenda sana
  4. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

    Kwa Mie kwa wingi wa sound zangu text haifai maana ntaandika barua....kitu live performance bwana
  5. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi hataki niende Jeshini

    Njoo jeshn dogo achana Na uyo mwanamke kwanza ukifika uku hutamtaka tena uyo....wazur wengi njoo uwe kamanda
  6. Mkulu p

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Lara1 leo

    Mm najua lara1 mtu wa shot za tecla...izo ngumu kumesa naso unatumiaga
  7. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako mlioachana anaweza kukuachia laana?

    Hakuna binadamu anaeweza mpa laana bnadamu mwenzie
  8. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women are attracted not chased

    M naamini wanawake wengi wanabutiwa Na hela so nawaoneshaga Tu munoti bila maneno,Na uwa nawapataga wazuri kweli tena!
  9. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua

    kwa malaya lazima na wewe uwe mbabe kidogo....m nawambiaga muda uwa haupotezwi bali unatumiwa
  10. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mpenzi wako ana marafiki wengi kwenye mitandao ya kijamii na yeye si maarufu achana naye

    mtu yeyote mwenye marafiki zaid ya 1000 kwene mitandao ina maana anashobo kwa watu...na ni mtu fake coz kati ya hao marafik utakuta anaochat nao ni hawazid 20 fake!
  11. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume: Hakuna kutengeneza nywele

    Mwanamke no pamby katika Dania muache apendeze bwana
  12. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia mbalimbali za watu warefu

    We ni kafupi pole
  13. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia mbalimbali za watu warefu

    Na vip ukiwa mrefu na pesa ikawepo
  14. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inamaana nyinyi wanawake wote mnajiuza?

    Hanikatikii tunskatikiana....ananipa raha nampa pia....luv is two way traffic...msitake mpewe nyie tuuu
  15. Mkulu p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia mbalimbali za watu warefu

    Ukiwa mfupi hata uwe na hela ila watu watukuita kale kafupi,mara kaandunje....bt ukiwa tall raha sana....
Back
Top Bottom