Wao wakati wanandoa Katibu ya Zanzibar 1985 walitegemea nini? Waswahili wanasema ukila na kipofu usimshike mkono. Na ikipitishwa Komi Shavuot la kushoto mgeuzie na la kulia na Kisha inafuata Zamu yake nae umchape Kibao.
Kigoma imetoa wabunge wangapi wa CHADEMA? ZZK alifanya kila jitihada zake ili CHADEMA isishinde huko Kigoma, ila yeye tu ndio apite bila kupingwa! Mwisho wa unafiki siku zote si mzuri sana.
Mtoa mada hujui ulisemalo na mada hii umeileta kiumbeambea zaidi. Katibu ilemela smejiuzuku baada ya kuhongwa na CCM akawauzia kadi za Chadema juzi kwenye mkutano wa rais uliofsnyika viwanja vya Furahisha jijini mwanza ili zirudishwe ionekane vijana jijini mwanza wameichoka Chadema. Zoezi hilo...
Precision Air is the airline that can not survive in the stiff competition. Just one company existence(fastjet) has removed them from the marke, with their arrogance. Government should rescue ATCL and not PW the private company. Mwambieni Shirima aende Kenya kwa Uhuru Kenyatta akamkomboe.
Kwani nani alikueleza kuwa Nelson Mandela alikaa tu na kusubiri kuung'oa utawala wa wazungu na kuwa rais ? South africa wameandamana, nini hapa TZA. Jela miaka 27, nini hii yenu magamba.
IMEKULA KWENU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.