utofauti na hiki ulichokisema cold war ilikuwa inainvolve two polarized ideology russia akiongoza communist block under warsaw pact na usa akiongoza democratic block akiwa allied na NATO, kifupi ni kwamba nchi zote duniani zikawa au on communist block or US led block! ndio wakaja non aligned...
watu wa namna hii wala usihangaike nao! ni nadra sana wakatoa michango ya maana! huwasambulia wale wenye mawazo ambayo yanakinzana na wanachoamini sio wanachofahamu maana huwa hawasemi wanajua nini! mara zote hawa watu nawewaka blaclist sioni comment zao mpaka wakiwa quoted
mkuu@Pasco baada ya kuufuatlia huu uzi hatua kwa hatua naomba nitoe mchango wangu! zamani nilikuwa na mediatate bila kujua ila something happened on the way ni kwamba niliweza kuzi invoke hizi psychic power to the extent niliogopa toka siku hio ikawa last practice! ingawa nilikuwa siijui...
mods ni wasikivu kuna watu wali hijack huu mjadala wakaanza kulumbania dini! ikawa ngumu kufatilia mjadala thanks kilio chetu kimeakilizwa here we are again tunaendelea na shule!
samahani baada ya kusoma hili andiko nimetatizwa sana ila naomba nihoji! je wote ambao mmesema kuwa na power mna tatizo la kuamka usiku wa manane kati ya saa nane na nunu mpaka kumi na robo! sio kuamka kabisaa ila unashtuka kutoka usingizini na usingizi unakata and you have to start it again! na...
natamani uwe na ndugu huko goma! just imagine huyo major ana watoto ambao walikuwa wanamtegemea yeye awasomeshe leo kashafariki afu mtu anakuja na majibu na majibu mepesi hivi! kufa vitani kawaida jamani mungu saidia
ok mkuu nimekuelewa ila samahani kama nimekukwaza ila hilo nililobold halikuwa lengo langu!! nimeshindwa kuendelea kusoma maana umeanza na mashambulizi wakati sikuwa na intention ya kuanzisha ubishi ila njilikuwa interested na report kama unadhani kuzificha hizo report na kuja na mutsari ndicho...
mkuu kama haya unayoyasema umesoma kwenye report mimi naiomba hiyo report au source ya haya maneno yako!! ni maneno mazuri kuyasoma kutoka kwenye chanzo halisi sio kuyasikia!! ntafurahi kama nikipewa hiyo nakala
ISI – Pakistan
With the lengthiest track record of success the best known Intelligence Agency is ISI. The Inter Service Intelligence was formed in 1948 just a year after the independence of Pakistan and it was created in order to strengthen the performance of this newly born country...
Wakuu mbona mnageuza hili jukwaa la dini!? Hizi dini za kuja na meli mmnazing'ang'ania mpaka mnataka kutoana meno!
mbona wote mna argue kutumia vitabu tofauti! Ni makosa kukosoa uislam kwa kutumia biblia pia ni makosa kukosoa ukristu kwa kutumia biblia!
pia siwaelewi una-justfy ukristu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.