Duh
Duh! Hapo lazima alichepuka hakutaka tu kusex na wewe kwa hofu ya kukuambukiza au kuficha sehemu zake za Siri zenye mabaka kwa kuwa alijua ungegundua, pole saana ila okba Mungu mwanao awe mzima tu.
Ingekuwa hivyo basi Warusi ambao ndo wanaongoza kwa kunywa pombe kali wangekufa saana, Toka enzi za Yesu, Mababu pombe ilikuwepo, sema tu mfumo wa maisha ya siku hizi umesababisha miili ya watu wengi kushindwa kuhimili pombe sababu watu hawafanyi mazoezi kusaidia mfumo wa mwili kutoa sumu na...
Wa kulaumiwa ni wabunge wetu ambao ndo wawakilishi wa wananchi kwa kupitisha mswada mbovu kama huu unaoenda kuuwa wastaafu wengi muda mfupi baada ya kuachana na ajira kwa stress za kipato, hata huruma hawana kabisa, lakini pia mchakato wenyewe haukuhusisha wadau ambao ni wajiriwa wenyewe, duh...
Wakija huwezi kuwatambua, wale jamaa wana IQ kubwa saana kuliko tunavyodhani, wanaweza kuja kama walimu, watalii, wachungaji, mapadri, wawekejaji, n.k, wale ni habari nyingine kabisa hapana chezea FBI, CIA, KGB, n.k mbele ya mpunga, Satelite images tu zinatosha kumpata MHALIFU MAPEMA!!!
Anajua Hakuna wa Kumgusa kwa Sababu anazojua yeye na alijua TRA watamuogopa kwa kuwa Mtoto pendwa kuliko wote na Mkulu kumbe kuna watu hawataki ubabaishaji kwenye kutekeleza majukumu yao waliyopewa na watanzania hasa kwenye kusimamia sheria! Pongezi nyingi kwa Philip Mpango na TRA, hakuna double...
Ngoma ikilia saana mwisho wake hupasuka, Hakuna malefu yasiyokuwa na ncha, Dogo hapa hatoki, Kwa huruma tu itabidi apewe ubalozi wa kudumu Nchi Fulani maana hawezi ishi Bongo kwa vidonda alivyowaachia baadhi ya Matajiri/Viongozi hapa Bongo, namwonea huruma saana. Alikuwa haangalii future yake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.