Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka...