Mkuu sijakuelewa nani mpiganaji?huyu mama ni mpiganaji mzuri sana ilikuwaje akakosa viti maalumu? maana anajituma sana kuliko hata wale wabunge wa viti maalumu. hivi hakuna nafasi ilibaki apewe huyu?
Mkuu sijakuelewa nani mpiganaji?
Ukiona bata ameacha kuhara ujue ni mgonjwa!first lady kumbe ni kimeo anapelekea wapinzani wake mipasho.mwambieni huyu mwanamke aache kufungua mdomo wake kuficha upumbavu wake.baba daktari wa wakatoliki una kazi na huyu mke wa kuiba.
We fikra zako zitakua zimegandishwa na Super-glue original,Mtu anamwambia mwenzie awatetee watu wa kijijini kwake, asilete ushabiki bungeni eti unasema analeta mipasho,Mipasho ni hiyo uliyoiandika,na nina uhakika ukienda Five Star taarabu ukawaonyesha hiyo comment hapo juu unapata usajili bila hata usailifirst lady kumbe ni kimeo anapelekea wapinzani wake mipasho.mwambieni huyu mwanamke aache kufungua mdomo wake kuficha upumbavu wake.baba daktari wa wakatoliki una kazi na huyu mke wa kuiba.
We fikra zako zitakua zimegandishwa na Super-glue original,Mtu anamwambia mwenzie awatetee watu wa kijijini kwake, asilete ushabiki bungeni eti unasema analeta mipasho,Mipasho ni hiyo uliyoiandika,na nina uhakika ukienda Five Star taarabu ukawaonyesha hiyo comment hapo juu unapata usajili bila hata usaili
Ushauri wa bure kwa Dr.
Reign in your better-half before she gets out of hand.
Stella Manyanya ni mbunge na mheshimiwa whether unamheshimu or not.
Aidha nampa chngamoto Josephine ambaye ni member humu , amuandikie na Mama Salma , naye anatoka sehemu si mbali na huko.Kwa vile Mumewe ni Rais, wanavijiji wote Tanzania ni watu wake , masikini na tajiri.
Na hapo ndo anaweza kushangaa nyani kula mahindi bichi.
Ushauri wa bure kwa Dr.
Reign in your better-half before she gets out of hand.
Stella Manyanya ni mbunge na mheshimiwa whether unamheshimu or not.
Aidha nampa chngamoto Josephine ambaye ni member humu , amuandikie na Mama Salma , naye anatoka sehemu si mbali na huko.Kwa vile Mumewe ni Rais, wanavijiji wote Tanzania ni watu wake , masikini na tajiri.
Na hapo ndo anaweza kushangaa nyani kula mahindi bichi.
Na Flora Amon
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa, Bi. Josephine Mushumbusi, amekiri kumtumia ujumbe mfupi wa simu (SMS) Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Stella Manyanya, huku akikanusha kumtukana.
Nimeanika historia ya matatizo ya huyu mama kwa habari zilizo katika internet, na mara zote tatu(au nne) mods(wenye mwelekeo wa CDM) wamezifuta. Hili jopo linageuka kuwa gazeti la Uhuru.Kwa hiyo ina maana hawa watu bado wako kwenye Uchumba hadi leo??