Recent content by mkudamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue hasara za mwanamke kukukatia mauno wakati wa kujamiiana.

    Jaman jaman! Kila siku yanazaliwa mambo mapya,misuli ikisinyaa lipo vumbi la congo na pweza tuta bust tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

    Wananchi wa kisesa wanapenda haki
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mto Ngerengere – Morogoro uchimbwe ili kuondoa taka zilizojaa, wakati wa mvua maji yanaingia mitaani

    Mkuu pale ni balaa kwakweli na hiz mvua zishaanza kuleta athar
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo

    Siyo masasi tu mkoa mzima wa mtwara umeme ni shida kubwaaa sana sana. Utadhan wameajiri mtu wa kukata umeme tu ni aibu sana alafu hawatoi taarifa hii siyo sawa. Wanafamya chochote na hakuna mtu atawafanya chochote
  6. M

    JamiiForums Tanzania 2G, 3G, 4G na 5G maana yake ni nini?

    ya kwangu ni 3G na bado napakua mzigo kama kawa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    kwakweli ninugonjwa unaonisumbua sana na sidhan kama unaweza kutibika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge amkaanga Kangi Lugola kutetea mashoga; Waziri asema alinukuliwa vibaya

    ahaaaaa,mmeona wamekaa kimya mnaanza kuwachokonoa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu hawazeeki kama wanafunzi wanaowafundisha?

    yaweza kuwa kweli ila ni kutkana na mzngra magum waliyonayo hususan ya maeneo wanayofanyia kaz kwan maeneo mengne kutembea tu ni mazoez tosha...na hususan wale wa vijijin
Back
Top Bottom