Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,022
Ukichaa-kichaa
Yupi?Hawa wazanzibari wanafiki, mbona hawakpigia kelele yule kiongozi mstaafu ambaye alikuwa shoga
Majibu ya hawa watu huwa yanafurahisha sanaHilo ni bunge futuhi.
.,......"Nchi yetu ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar , kwa Zanzibar asilimia 99 ni waislamu na awasapoti ushoga, hivyo mtuombe radhi"
Alikuwa anajaribu kuwatetea jamani mpeni support!Chama kimepoteana, hakijulikani mbele wala nyuma. Kila mtu anaongea anachotaka, halafu mwisho wa siku wanabanwa kwenye kona na kujiuma uma tu.
Hakuna haja ya kuwapima wataondoka wenyewe kama WB!Kama serikali ina ubavu wa kukataa mashoga waanze kuwapima marinda mabalozi wote wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini...bana wee, tunapokea misaada ya mashoga means tunaunga mkono..Njaa mbaya.
Punguza hasira watakutoa oil chafu!Chama kimepoteana, hakijulikani mbele wala nyuma. Kila mtu anaongea anachotaka, halafu mwisho wa siku wanabanwa kwenye kona na kujiuma uma tu.
Watanzania wengi tu wafuata mkumbo na hatuna muda wa kutafakari lolote. Aidha tukimbilie kupiga makofi au kulalamika. Hii ishu ya ushoga iko hivi: Tanzania kufanya vitendo vya ushoga ni kosa. Narudia tena: Tanzania kufanya vitendo vya ushoga ni kosa. Ni kosa kama ilivyo wizi au makosa mengine. Sasa kwa bahati mbaya sana akatokea kilaza mmoja akatoa agizo apelekewe majina ya mashoga na yakishapelekwa wakamatwe na kupimwa. Hapa ndipo hasa tatizo lilipoanzia na mataifa mengi yakalaani na kutoa vitisho. Ikabidi serikali itoe tamko kuhakikishia ulimwengu kuwa ''mashoga wapo salama''. Kwanini ilitoa tamko la aina hii?: Kwa sababu mbinu aliyotumia huyo kilaza ni mbinu ya mob justice. Ni mbinu ambayo inaacha loop holes kibao kwa mashoga kuadhibiwa huku bila kosa! (kumbuka ushoga siyo kosa bali kufanya vitendo vya ushoga ndiyo kosa). Hata kama angesema apelekewe majina ya wezi bado tu ni kitendo kibaya na kingelaaniwa kwani kungekuwa na victims wengi kwa sababu ya approach iliyotumika. Ni vivyo hivyo inapotekea watu wakajichukulia sheria mkononi kuadhibu wezi bila kuacha sheria kushika mkondo wake. Kwa hiyo ilichofanya serikali ni kutoa tamko kuwa ''hakuna mob justice itakayotumika kuwaadhibu mashoga hivyo wako salama.... mpaka pale watakapokutwa wakivunja sheria''. Hii hali ya kuwa kuwa na sheria za kukataza ushoga ilikuwepo na hakuna lolote lililobadilika kwani itanedlea kuwepo.Kangi aliyesema mashoga wako salama wakikutana na Lugola aliyesema alinukuliwa vibaya watapigana sana hadi mmoja afe. mlio karibu na hao watu hakikisheni hawakutani ili kuepusha maafa.
Nani?Hawa wazanzibari wanafiki, mbona hawakpigia kelele yule kiongozi mstaafu ambaye alikuwa shoga
Nimekuelewa sana Mkuu, sasa kwa nini huyo kilaza kila siku anapewa another chance ya kufanya ujinga mwingine.Watanzania wengi tu wafuata mkumbo na hatuna muda wa kutafakari lolote. Aidha tukimbilie kupiga makofi au kulalamika. Hii ishu ya ushoga iko hivi: Tanzania kufanya vitendo vya ushoga ni kosa. Narudia tena: Tanzania kufanya vitendo vya ushoga ni kosa. Ni kosa kama ilivyo wizi au makosa mengine. Sasa kwa bahati mbaya sana akatokea kilaza mmoja akatoa agizo apelekewe majina ya mashoga na yakishapelekwa wakamatwe na kupimwa. Hapa ndipo hasa tatizo lilipoanzia na mataifa mengi yakalaani na kutoa vitisho. Ikabidi serikali itoe tamko kuhakikishia ulimwengu kuwa ''mashoga wapo salama''. Kwanini ilitoa tamko la aina hii?: Kwa sababu mbinu aliyotumia huyo kilaza ni mbinu ya mob justice. Ni mbinu ambayo inaacha loop holes kibao kwa mashoga kuadhibiwa huku bila kosa! (kumbuka ushoga siyo kosa bali kufanya vitendo vya ushoga ndiyo kosa). Hata kama angesema apelekewe majina ya wezi bado tu ni kitendo kibaya na kingelaaniwa kwani kungekuwa na victims wengi kwa sababu ya approach iliyotumika. Ni vivyo hivyo inapotekea watu wakajichukulia sheria mkononi kuadhibu wezi bila kuacha sheria kushika mkondo wake. Kwa hiyo ilichofanya serikali ni kutoa tamko kuwa ''hakuna mob justice itakayotumika kuwaadhibu mashoga hivyo wako salama.... mpaka pale watakapokutwa wakivunja sheria''. Hii hali ya kuwa kuwa na sheria za kukataza ushoga ilikuwepo na hakuna lolote lililobadilika kwani itanedlea kuwepo.
Mbunge wa Konde Zanzibar Khatib Hajj, amehoji kauli za serikali ambazo zilikuwa kwa namna moja ama nyingine zikionyesha msimamo laini ama kutokukemea ya ushoga nchini
Mbunge huyo ameshangaa pamoja na utajiri wa Tanzania tulio nao tunashindwa kusimamia mambo tunayoyaamini kisa tunahofia tutanyimwa misaada
Kangi Lugola alisimama na kusema inawezekana alinukuliwa vibaya kwani Tanzania ina sheria tayari ya kuadhibu watu wanaotumia viungo vyao vya mwili kinyume na asili na kuwa Tanzania ni hekalu la Roho Mtakatifu