Recent content by mkorosho

  1. mkorosho

    Ni kesi zipi mtumishi wa umma anaweza kusimamishwa kazi zikifika mahakamani?

    sijui ila ninafikiri kuwa huwa mtumishi hasimamishwi kazi kabla ya hukumu ( maana ya mshahara) na kama ni madai hamna shida sana ila kama ni jinai na kifungo kikazidi miezi 6 utasimamishwa kazi, pia inategemea na aina ya lalamiko.
  2. mkorosho

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    rudia kusoma tena uzi ...majibu yapo, pitia tena taratbu kwa maana ya kuifunza
  3. mkorosho

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    very truee.......hapa ukizingua unaweza malizia nje kabisa
  4. mkorosho

    Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    your just a single man with single capacity jiandae kisaikolojia itakusaidia zaidi ikishindikana baki na bao lako moja usijichoshe kumridhisha mwanamke.. mpaka amekutana na wewe tayari ameshashughulikiwa na kina Gugume bao 20 kwa siku mpaka amekuja kuona kibamia chako ameshakutana na...
  5. mkorosho

    Wafanyakazi wa Serikali na wafanyabiashara mkijibu hizi hoja nami nitaunga mkono maandamano

    Hao wafanyabiashara na wafanyakazi wasipolipa kodi hii nchi si itakua coloni la China, WB na Acacia?
  6. mkorosho

    Wafanyakazi wa Serikali na wafanyabiashara mkijibu hizi hoja nami nitaunga mkono maandamano

    Hoja zako ni za kibinafsi sana wafanyakazi wa umma ni wakina nani? Nadhani sio walimu wanaofundisha watoto wako? sio askari? sio madaktari? maafisa mbalimbali wa serikali ikiwemo hao wa bima za afya? binafsi nadhani kuandamana ni bora zaidi kuliko kuacha kazi moja kwa moja kuandamana ni...
  7. mkorosho

    Aina 10 za Wanawake wa kupaswa kuogopwa.

    Mwanamke mjinga huyu ni gunia la misumari
  8. mkorosho

    Mike Tyson amuonya Anthony Joshua!!

    ni vile watu hawafuatilii sana mchezo wa ngumi but naona uko vizuri sana
  9. mkorosho

    Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

    tena una bahati sana mara tatu tu wikiend? mimi wikiend ukiwa mpya hamna kutika kitandani mpaka nitoe upepo
  10. mkorosho

    Huyu mwanaume tutawezana kweli?

    sorry huyo jamaa anaweza akawa mume lakini utaishi nae kwa shida better ukaachana nae
  11. mkorosho

    Wanawake: Uliza chochote kuhusu wanaume utajibiwa humu

    Balaa linakuja pale unapokutana na mwanaume anayejua wanawake kama mimi sijui utapita njia gani Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  12. mkorosho

    Wanawake: Uliza chochote kuhusu wanaume utajibiwa humu

    karibu Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  13. mkorosho

    Wanawake: Uliza chochote kuhusu wanaume utajibiwa humu

    naweza sema kwasababu mnapenda kusikia uongo (kudanganywa) huo sio uongo ni techniques tu za kupata mgegedo wewe ndo uwe na akili.... tatizo ni kwamba wanawake wakiwa kwenye peak of beauty (18-28yrs) wanafuatawa na wanaume wa kila aina ( kama ua linavyofatwa na nyuki) kiasi kwamba wanakua...
  14. mkorosho

    Wanawake: Uliza chochote kuhusu wanaume utajibiwa humu

    sio kwamba hatupendi..tunachukia usumbufu kutoka kwa baba watoto wenu kama mkikubaliana kuwa mtoto atamlea yeye kama baba na hakutakua na other connection its fine lakini mara nyingi kuna usumbufu mwingi kutoka kwa hawa wanaume na huwa hamchelewibkukumbushia a also kuna baadhi ya wanawake...
Back
Top Bottom