Recent content by Mkorogo Dar

  1. M

    Watanzania tujihadhari na wanasiasa feki

    Hela chafu hulipiwa kodi? Alihalalisha ama alipewa msaada kwa shule yake
  2. M

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Nimesoma habari hii, Raia Mwema la Jana Sept 10, na nimepata kusikia kuwa kwenye bank statement wametajwa Ngeleja, Tibaijuka, Chenge, Maswi, Mujulizi na wabunge kadhaa wa Chadema! Hapa Watanzania tusikurupuke kujudge na kuwatukana hawa akina Ngeleja, Tibaijuka, Chenge, Maswi, Mujulizi na hao...
  3. M

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Kwani tatizo ni nini hapa mbona sielewi? Hiyo report ya CAG imereport waliopewa pesa na Rugemalira badala ya kureport pesa ilitolewa vipi BoT ? mimi naona hiyo report ya CAG ina matatizo
  4. M

    Katibu wa CCM Kata ya Mtindiro ajiunga CHADEMA

    Uchaguzi umekaribia, CCM imeanza rasmi kupandikiza watu wake ndani ya Chadema ili iwe rahis kupata taarifa za cdm, so msiishie kufurah tu kwa ujio wa huyo katibu wa chama bila kufikiria kama katumwa au vip
  5. M

    Tibaijuka, umechepuka katika suala la Mji mpya Kigamboni

    FF asikupumbaze! vuta subira na prospectus iwe tayari na hoja zako zijibiwe
  6. M

    Tibaijuka, umechepuka katika suala la Mji mpya Kigamboni

    Nilivyomskia, alisema inaandaliwa na itawekwa hadharani. kwani hao wananchi tayar wamenunua hisa? hiki kilikuwa kikao tu cha kukubaliana namna ya kwenda katika zoezi zima la mji mpya na makubaliano hayo yataratibiwa muda si mrefu.
  7. M

    Tibaijuka, umechepuka katika suala la Mji mpya Kigamboni

    Nadhani wewe ndo ulikuwa kwenye michepuko yako wakati anajibu na alisema kuwa italetwa prospectus inayozungumza maswala hayo na utaratibu mzima wa hisa. so plz acha kupoteza time ukipotosha umma
  8. M

    Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

    Asante na hongera Waziri Tibaijuka, kazi yako tumeiona
  9. M

    Prof. Tibaijuka ang'ara katika hatma ya kupatikana katiba mpya tanzania. Asema ukawa rudini bungeni

    Nimesoma NIPASHE ya leo, wameandika: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, aliwaomba Ukawa kurudi bungeni ili kuendelea na mchakato wa kutengeneza katiba unaotarajiwa kuanza Agosti 5, mwaka huu. "Nawaomba Ukawa wakubali kurudi Bungeni ili Watanzania wapate...
  10. M

    Prof. Tibaijuka ang'ara katika hatma ya kupatikana katiba mpya tanzania. Asema ukawa rudini bungeni

    Nimesoma NIPASHE ya leo, wameandika: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, aliwaomba Ukawa kurudi bungeni ili kuendelea na mchakato wa kutengeneza katiba unaotarajiwa kuanza Agosti 5, mwaka huu. "Nawaomba Ukawa wakubali kurudi Bungeni ili Watanzania wapate Katiba...
  11. M

    Prof. Tibaijuka ang'ara katika hatma ya kupatikana katiba mpya tanzania. Asema ukawa rudini bungeni

    Prof. Tibaijuka kasema lini na wapi habari za sehem ya kujenga Ikulu? kwani wewe hufuatilii mijadala, hata wa jana hujausikiliza ili ujue nani katoa pumba na nani kaelimisha jamii?? au unalala ukisubiri kulishwa sumu za hapa jf
  12. M

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hebu twambie wewe ungepewa nafasi ungeongea nini kizuri na cha maana zaidi ya alichokiongea Prof Tibaijuka? au kwa kuwa alitoa hali halisi na hatua kubwa waliyopiga wanawake kupitia hoja zao mezani ?
  13. M

    UKAWA sisi ni Wenzenu: Rudini Bungeni

    Kwani UKAWA kodi walizokula zimerudi?
  14. M

    HALIMA MDEE: Mbunge asiye na makeke anayetetea Taifa

    Ni kweli Halima hana makeke bse hataki mgogoro wa Chasimba umalizike n viwanja vyake vikachukuliwa na kiwanda.
Back
Top Bottom