Katibu wa CCM Kata ya Mtindiro ajiunga CHADEMA

Katibu wa CCM Kata ya Mtindiro ajiunga CHADEMA

safi sana kajitambua karibu kwenye ukombozi kamanda
 
Amejitambua karibu kamanda
Uchaguzi umekaribia, CCM imeanza rasmi kupandikiza watu wake ndani ya Chadema ili iwe rahis kupata taarifa za cdm, so msiishie kufurah tu kwa ujio wa huyo katibu wa chama bila kufikiria kama katumwa au vip
 
Back
Top Bottom