Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,588
- 23,949
Ukawa wameshasema hawarudi, sasa kitu gani kinawazuia kuendelea.Yawezekana hunijui...........ninachokwambia ni kwamba hata UKAWA Wasiporudi bungeni.........bunge litaendelea tu.
Muundo wa serikali ni paramount. Ndio itatupa dira ya wapi tunapotaka kufika.Na ni bora ukawa wawepo wateteee maslahi mengine ya mtanzania na sio muundo wa muungano tuuu.
Ndio, ubadhirifu mkubwa unafanyika kwa kivuli cha Muungano. Hakuna wa kuwajibika wala wa kuwajibishwa kwani yapo mambo hayana wenyewe.Wote hakuna aliyejibu swali la msingi...umaskini wetu chanzo ni muungano?
Okay, wewe mwenye uelewa mkubwa, nini chanzo cha umasikini wetu?Mie nilidhaniu una uelewa kidogo. Umaskini wetu ni muuundo wa muungano?
Hii ndiyo aina ya mipasho iliyosheheni ndani ya hilo Bunge. UKAWA cant be a party to this stupidity.Hapo tu ndo akili yako imeenda left.