mwagavumbi 11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,254
- 44
Hakuna Mwana CCM ambaye si Tapeli... wote waongo makuwadi wa Rasilimali za Taifa except KAGASHEKI...
kwa kuwa mnatoka mkoa mmoja.
Hakuna Mwana CCM ambaye si Tapeli... wote waongo makuwadi wa Rasilimali za Taifa except KAGASHEKI...
unamaanisha dr slaa au
Ndugu zangu watanzania ni vizuri tukajihadhali na wanasiasa wanaojalibu kubadili ukweli na kutoa lugha nyepesi nyepesi kwa kuwalaghai wananchi. wanasiasa feki wanadhani watanzania wanaakili kama zao za udanganyifu.
Watanzania inabidi tuseme sasa basi. tunaitaji vitendo na si siasa.
Kweli kabisa. Wako wanasiasa wanadhani watanzania wana akili za udanganyifu na unawajua baadhi yao.
Hela chafu hulipiwa kodi?Kama Anna Tibaijuka, anajidai hana njaa ya hela ya mboga kumbe yuko frontline kwenye kuhalalisha hela chafu
kwa mfano kiongozi kama huyu anakuwa mzee wa totozi , unafikili atawaongoza akina nani zaidi ya wenyeakili nusu.