Recent content by mkorofi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Ninazo cfa hizo. Nipe namba yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Tatizo ni kwamba ndugu zetu Waislamu hawana future plan. Wanaponunua eneo la kujenga msikiti huwa robo au nusu heka ikizid n hekari moja tu. Shule na hospital watajengea wapi? Badilikeni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Inasikitisha sana kusikia tuliodhan watatuakilisha kizalendo kumbe wapo kiimaslahi. Hao c wawakilish wetu ni wa familia zao. Isiyomtosha ajitoe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira ndiye atakayempokea kijiti Kikwete 2015

    Kama wasira ni jembe likatumike kijijin ktk kilimo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Njoo kwangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    Maisha popote. Hata hapo b4 hawakujua kama watapata kazi clouds
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uozo mtupu hospital ya rugambwa.

    Hospital ya Rugambwa ipo ktk mkoa wa Dar es salaam, kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Hospitali inayomilikiwa na kanisa katoliki jimbo kuu la Dar es salaam. Pamoja na kuboreshwa kwa majengo mazuri ila kwa upande wa huduma ni mbaya. Mosi; Wafanyakazi mpaka leo hii hawajalipwa mshahara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uozo hospital ya cardinal rugambwa.

    Ni Hospitali ya kanisa katoliki iliyopo mkoa wa Dar es salaam kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Namna inavyoendeshwa sasa ni kinyume na taratibu za Kanisa na waanzilishi. Mpaka sasa Wafanyakazi hawajalipwa mshahara toka mwanzon mwa november 2013 mpaka leo tareh 09/01/2014.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge na mawaziri wafunguka kuhusu dr. Mgimwa

    Raha ya milele.....amina. Dr. Mgimwa ni mfano
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Mh Zito amejishushia heshima ktk jamii. Najiuliza kwann hung'ang'anie madaraka? Unataka kutuaminisha kuwa unasingiziwa?!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mpenzi wangu ina dawa?

    Ni jambo la kawaida ucwaze sana
Back
Top Bottom