Recent content by Mkora

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

    wewe usiwe boya kwa hivyo vipimo viliidhinishwa kupima mapapai ? kwa watu wa computer tunasema garbage in garbage out GIGO mbona hamsemi kuhusu hivyo vitu ilivyosoma negative or undetermined
  2. M

    JamiiForums Tanzania Revenue collection ya serikali 80% inatoka Dar? Nimechanganyikiwa kabisa na hili

    Imefungwa LONDON na NEW YORK ambapo ndio epicenter 80% ya deal zote kubwa zinapitia hapo
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

    sahihi kwa kuwaingiza watu chaka au
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Punda kama huyu ndio atawafaa kwani gharama zake ni za chini vinginevyo hata hayo mazao hayatauzika ulaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Hii inanikumbusha enzi za DASAIR ya Uganda
  6. M

    JamiiForums Tanzania Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

    JAMAA SIO FALA ITAKUA WASHAPATA LOOP HOLE ILI AJITANZUE TUU LAKINI GAME INAENDELEA WAKATI YUPO NJE
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi na maoni yangu juu ya kilichosababisha ajali ya Ethiopia Airline, si lazima kuwa na black box kuujua ukweli mchungu huu

    Hii inatokana na design flaw tangu walivyokuwa wanaitengeneza, kwani ilibidi wafanye mdification kusogeza mbele engine ili ndege ibalance kuhusu ange of attack walitegemea software itakuwa reliable bila kuwa na mahitaji ya rubani kwani nia na madhumuni ni kuwapunguzia gharama airline lakini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Issah Shivji: Bosi wa CAG ni Katiba, Ndugai anapotoka

    Mkuu unajijibu alafu unajiuliza jee tukueleweje wakati Profes Shivji keshaweka kila kitu sawa, kama ingekuwa kitu rahisi CAG angekuwa keshatumbuliwa siku nyingi sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

    MKUU KWA KUONGEZEA NDEGE ZOTE ZA ENGINE MBIL ZINAZOPITA ATLANTIC OCEAN FLIGHT PLAN YAO LAST PONT NI PALE, LAZIMA ZINATUMIA CAPE VERDE INCASE YA EMERGENCY HATA NASA WAMEWEKEZA SPACE SHUTTLE KUTUA KWA DHARURA HII INATOKANA NA ETOPS REQUIREMENTS HIVYO HATA TAG ANGOLA YA RIO DE JENEIRO INAPITIA PALE
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

    Mkuu hivi vitu vipo kwani kuna mbeba mizigo pale sokoni Tanga Mjini anaitwa Khalfani Kigozi hii ilitokana na watu kwenda kuiba Nazi kwa Shariffu kikapu basi akawatwanga na al-Badr ya mguu mmoja basi kilichotokea ni kile chuma walichofulia Nazi kilikatika hadi kuku aliyekula machicha nae...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Prof. Kabudi ni kielelezo cha uimara wa timu ya Tanzania katika mazungumzo na Barrick

    Mkuu sasa hapo ndio kwenye tatizo kwani discrepancy ni kubwa kama wao hawaikubali itabidi ikapimwe kwingine sio SGS au GST hapo ndio chupi itavuka kama le professor Mruma katuingiza chaka itabidi kuchutama tuu
Back
Top Bottom