Recent content by mkonowapaka

  1. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Hii form ya traffic inamhusu nani

    hehe na bili uliweka kwa bwashehe ili ukae vimbwetani kwa raha....
  2. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

    Iliwekwa wazi makampuni na taasisi zinazotoa maduhuli na wanaotoa gawio...sasa hayo ya zito sijui yametoka wapi....
  3. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

    kimya kimya hainogi ..mambo kuwa wazi hivi yanaleta uwajibikaji wa viongoz wa mataasisi na kampuni husika
  4. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

    Ivi mbona nyie kaz yenu kupinga tu kila jambo? mtu unakaa kwa mtogole utaujua saa ngapi umuhimu wa barabara hii...mimi naishi kunduch na ili kukwepa foleni huwa nikifika moroko naingia msasani then oysterbay then narudi salenda...sasa kwa daraja hili ina maana nitainyoosha moja kwa moja via...
  5. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania TTCL yafungia tovuti za ngono, nyumbani pazidi kuwa pachungu

    muongo sio kweli wakuu
  6. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

    kwani wewe hujawai kupaka mate ili iteleze?? au huwa unapaka nini.....
  7. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Kisa mchepuko amuua mumewe kwa mafuta ya moto

    mbona kama ya siku nyingi hii
  8. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola ampa Sirro wiki 2 tu, amjibu kwanini tunapewa amri na majambazi

    hapa lugola umeninogeshaa
  9. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

    inapatikanaje kwa Tanzania na gharama zake?
  10. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Toyota carina Ti inauzwa 4milion

  11. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Exclusive pic: Diamond ndani ya mjengo na wanae

    hehehe mtalaka haachwi
  12. mkonowapaka

    JamiiForums Tanzania Toyota carina Ti inauzwa 4milion

    so? gari yangu usinipangie matumizi...over
Back
Top Bottom